Taarifa za Mo Dewji kujitoa kama mwekezaji wa Simba zipoje?

Taarifa za Mo Dewji kujitoa kama mwekezaji wa Simba zipoje?

Labda kashangaa mbrazil kuja kucheza bongo unajua kule Brazil kila mtu anajua kupiga dana dana halafu sheria zao ukikuta watoto wana cheza cha ndimu lazima na wewe ucheze dakika 10 ndio usepe
Ha ha ha ha daaa asee siku hizi vipaji na mpira bongo hakuna kabisa. Umenikumbusha mbali sana hyo kuliunga ukikuta watu wanacheza cha ndimu halafu baada ya muda unavaa kama ni ndala au raba zako unawaaga wadau unasepa. Siku hizi hayo mambo hayapo asee
 
Haji Manara uko wapi uje ufikirie kwa niaba ya mashabiki Wa Simba kuhusu hili na utoe tamko ili washabiki wote waanze kuongea kama ulivyosema?
 
Huyo jamaa si ndiye alipigaga hesabu zake kisha akautangazia uma kua Simba wataingia kama underdogs kwenye CAF Champions League na wataburuza mkia kwenye kundi lake?

Aliwahi kuomba radhi baada ya utabiri wake kuangukia pua? Na hapa pia naona kama anawanga tu kama wachawi wengine
Kwani simba hawakuwa underdogs? Hata sasa Simba ni underdogs kwa zile timu zote alizocheza nazo kuanzia round ya pili
 
Acha tu; tutaambia nini watu sisi.

Mtawaambia mtumbwi aliopanda bosi umetobolewa na kuanzia sasa tunaitwa MTUMBWI FC!
IMG-20190705-WA0004.jpg
 
Kwani simba hawakuwa underdogs? Hata sasa Simba ni underdogs kwa zile timu zote alizocheza nazo kuanzia round ya pili
Hahahaa mkuu aliye anzisha kauli ya kua Simba ni underdogs kwenye kundi lake alinyamaza kiimya baada ya kujibiwa uwanjani kwa vitendo. Nadhani kashafuta kauli yake

Sasa mkuu wewe ukilileta hilo kwa sasa utakua unakosea sana
 
Daaa hili povu siyo la sabuni zinazotengenezwa Afrika. Usitetemeke ndugu kabla ya Mo mlikuwa na maisha pia[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Unafahamu lolote linaloendelea au unataka nikujuze ili ujuwe kwanini namuita shaffih dauda shoga?
Kwanza ni tabia zake
 
Back
Top Bottom