Dr Ntinkutina.
JF-Expert Member
- Apr 25, 2013
- 309
- 55
Chadema wanahusika sana hapa kwa kuwajaza ujinga wananchi
CHADEMA ndiyo wamewatuma mpeleke walenga shabaha za vichwa. Toeni rambirambi kwanza kwa wafiwa wa wanajeshi wetu wanne. Acha kuropoka.
Chadema wanahusika sana hapa kwa kuwajaza ujinga wananchi
Halikuahirishwa kwa wema ili wananchi wafaidike...!Limeahirishwa ili Serikali ipate nafuu kutokana na hoja za wapinzani na baadhi ya wabunge wa CCM waliokwisha jitambua! Sina uhakika kama SERIKALI hii hii ambayo imeshapeleka JWTZ kama itakaa mezani kuzungumza na wananchi! Propaganda wanayoitumia ni kusingizia kwamba wananchi hawapendi gesi itoke! NENO haitoki halimaanishi haotiki...Linamaanisha " HADI .....kifanyike, la sivyo,HAITOKI"! Kwa KIONGOZI makini alitakiwa kuanzia wananchi wanakoishia na si kuishia wananchi wanakoanzia! And the Beautiful Ones (FOR THAT) Are Not Yet Born....
CHADEMA ndiyo wamewatuma mpeleke walenga shabaha za vichwa. Toeni rambirambi kwanza kwa wafiwa wa wanajeshi wetu wanne. Acha kuropoka.
Upuuzi mtupu, bado hataki kuamini kwamba tatizo ni serikali kutotaka kukaa na wana mtwara. Bi kiroboto kaahirisha bunge hadi kesho. Kodi za Watanzania zinatumika.
Bunge laahirishwa
Hivi wakiahirisha bunge kama hivi, wanalipwa posho ya siku kusika/
Ningependa kujua likiahirishwa kama hivi wabunge wanabaki wakifanya kazi gani kwa siku husika
Yaani wewe Akili zako zinawaza Pesa tu!!!
Kwa hiyo ndio utengeneze MRIJA wa kuwapokonya wengine na kuendelezataifa ni moja, hakuna rasilimali ya eneo moja
Watanzania hali ni tete sn
asubuh hii, nyumba za raia zinachomwa moto, mabanda ya biashara pia
yanateketea kw moto na moshi umetanda anga lote. Tetesi zinasema kuw
polisi ndo wanafanya uharifu huu....
Unataka niwaze nini, wakati wanacholipwa ni kodi yangu ninayokatwa kila mwisho wa mwezi?
Ndo wale wale, shwain wewe.....
faida ziko wazi na hazihitaji shahada ama stashahada kuzijua... ila kwa sababu wana MTWARA wote ni mbumbumbu kama ulivyo wewe!!! hawawezi kuziona wala kuzielewa faida hizo.. wenye akili zetu tunajipanga kuhamia mtwara kwenye opportunities za kumwaga
Kiwango chako cha mshahara hata kodi ukatwi bado unalalamika!!!
Halafu ni mwanachadema wa bavicha mtwara.
Acha ezembe wa kufikiri.
Kesho mkeo akikunyima unyumba utakuja tena humu JF na kudai CHADEMA inahusika, wakati wazo la wanawake wa kitanzania kuwanyima unyumba waume zao lilitolewa na mwenyekiti wa jumuiya ya wanawake CCM, mama Sophia Simba.
*Suala la gesi kubaki Mtwara limo kwenye Ilani ya uchaguzi ya CCM ya 2010 na Kikwete alijinadi hivyo wakati wa kampeni, sasa kama kusema Gesi lazima ibaki Mtwara ni ujinga, mjinga mkuu atakuwa CCM.
vita ya kongo ya rasilimali ilianza hivi hivi, je huko ndiko tunakotaka kuipeleka nchi yetu???
Jana chadema kupitia kwa mh john mnyika walishauri kwamba mradi wa gesi usimame ili mambo yote ya msingi kwanza yapatiwe ufumbuzi,lakini wao kwa kiburi cha kuona kila wazo la cdm ni baya kwa mbwembwe wakajinadi ni lazima mradi uendelee,ss wanamtwara wamezidi kuamka,atuoni tulipokosea ikiwamo na kupuuza mawazo ya cdm,asasi za kiraia,wanataaluma tunaanza kunyoosheana vidole si jambo jema,wanafalsafa wanasema`kila linapotokea tatizo badala ya kutafuta chanzo na jinsi ya kupata ufumbuzi bali unatafuta watu wa kuwanyooshea vidole,ni dalili ya kiburi na kujiona wewe ni bora na unajua kila kitu`ccm kiburi si muhimu kipindi hiki,propaganda sio wakati wake tena.....tujitasmini tuone ni wapi tulipopapuuzia tuanze upya,mungu ibariki tanzania,ilinde amani yetu