ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,758
- 9,592
kwanini hawa watu waliofanya vurugu hizi wasitiwe lokapu kwani mikoa mingine tukisema vitu vyetu vibaki kwetu Tanzania itakuwa nchi hii kwanini hawa watu wanataka kuibomoa tanzania yetu leo kama kagera wakisema tubaki na ndizi zetu nani hatafaidika, mbeya wakisema wabaki na makaa ya mawe, mchele, alzeti na dodoma wakisema wabaki na karanga, Mwanza wakisema wabaki na madini yao, Kilimanjaro wakisema wabaki na Tanzanite yao, mlima, na Songea, Iringa, na alkadhalika mikoa yote TANZANIA ITAKUWA NCHI TENA si kutakuwa na mgawanyiko na mtawanyiko tunaipeleka wapi nchi yetu kwanini tunakuwa wachoyo, wabinafsi kiasi hichi wameniuzi sana hawa wamtwara
Inasomwa na Nchimbi badala ya PM,
Anasema chanzo kikuu cha vurugu ni kupinga gesi kusafirishwa kutoka Mtwara hadi Dar. Vurugu zilianza kwa kusambazwa vipeperushi vya kuhamasishana kufanya vurugu
Athari
Nyumba ya Mbunge imechomwa, ofisi za CCM kata, Nyumba na ofisi mbalimbali
watu 91 wamekatwa, hali hiyo imedhibitiwa jeshi la ulinzi limeenda kwa ombi la RC ambapo wakiwa njiani kuelekea huko askari 4 wamefariki kwa ajali ya gari
Nawapongeza askari waliofanya kazi katika mazingira magumu kurudisha hali ya amani
ANAENDELEA