Tutawasaka ndani na nje ya nchi, tuahakikisha hawaukwepi mkono wa sheria! tutaakikisha tunawkamata wao na vibaraka wao hata kama wana nguvu kiasi gani. Hatuwezi kufumbia macho watu wachache wenye nia mbaya ya kuivuruga nchi yetu.
Siyo maneno yale yale aliyotoa wakati wa mlippuko wa Arusha???? au nakosea? ame-copy na ku-paste!!! nchi hii bwana! Arusha walikamata mwendesha boda boda subirini movie ya Mtwara.