Taarifa ya serikali bungeni kuhusu vurugu za Mtwara

Taarifa ya serikali bungeni kuhusu vurugu za Mtwara

habariyamujini

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2013
Posts
3,094
Reaction score
457
Inasomwa na Nchimbi badala ya PM,

Anasema chanzo kikuu cha vurugu ni kupinga gesi kusafirishwa kutoka Mtwara hadi Dar. Vurugu zilianza kwa kusambazwa vipeperushi vya kuhamasishana kufanya vurugu

Athari
Nyumba ya Mbunge imechomwa, ofisi za CCM kata, Nyumba na ofisi mbalimbali
watu 91 wamekatwa, hali hiyo imedhibitiwa jeshi la ulinzi limeenda kwa ombi la RC ambapo wakiwa njiani kuelekea huko askari 4 wamefariki kwa ajali ya gari

Nawapongeza askari waliofanya kazi katika mazingira magumu kurudisha hali ya amani

ANAENDELEA
 
Waziri wa NCHIMBI anawasilisha taarifa muda huu
 
Watanzania hali ni tete sn asubuh hii, nyumba za raia zinachomwa moto, mabanda ya biashara pia yanateketea kw moto na moshi umetanda anga lote. Tetesi zinasema kuw polisi ndo wanafanya uharifu huu....
 
Waziri EMANUEL NCHIMBI anawasilisha taarifa muda huu
 
wasaliti wa nchi yetu wanajua faida kubwa itayopatikana kuhusu uvumbuzi wa gesi hiyo kwa taifa.tuwakatae
 
Jamaa anawapongeza polisi kwa kudhibiti usalama jana.
Anasema kuna baadhi ya vyama vya siasa na asasi za kiraia wanawaforce wananchi.
Anawaasa tamaa mbele mauti nyuma.
 
vita ya kongo ya rasilimali ilianza hivi hivi, je huko ndiko tunakotaka kuipeleka nchi yetu???
 
Inasomwa na Nchimbi badala ya PM,
Anasema chanzo kikuu cha vurugu ni kupinga gesi kusafirishwa kutoka mtwara hadi dar.
vurugu zilianza kwa kusambazwa vipeperushi vya kuhamasishana kufanya vurugu

athari
nyumba ya mbunge imechomwa, ofs za ccm kata, nyumba na ofisi mbalimbali
watu 91 wamekatwa,
hali hiyo imedhibitiwa
jeshi la ulinzi limeenda kwa ombi la RC ambapo wakiwa njiani kuelekea huko askari 4 wamefariki kwa ajali ya gari

Nawapongeza askari waliofanya kazi katika mazingira magumu kurudisha hali ya amani

ANAENDELEA

Kabla ya kipindi cha bunge TBC ilikuwa safi bunge limeanza TBC wameanza kukatika tena
 
tofauti zetu tuzizungumze.,...serikali inalaani vikali vurugu hizo, serikali inaendelea kufatilia athari zilizopatikana na hatua stahiki zitachukuliwa...hakuna atakayepona kwa hili
 
mbona hawaelezi wana mtwara watafaidiki vipi kwa gesi ya kuchukuliwa? simple answer required
 
Bunge limeahirishwa hadi kesho asubuhi kwa sababu bunge na serikali bado wanashughulikia suala la mtwara.
 
Inasomwa na Nchimbi badala ya PM,
Anasema chanzo kikuu cha vurugu ni kupinga gesi kusafirishwa kutoka mtwara hadi dar.
vurugu zilianza kwa kusambazwa vipeperushi vya kuhamasishana kufanya vurugu

athari
nyumba ya mbunge imechomwa, ofs za ccm kata, nyumba na ofisi mbalimbali
watu 91 wamekatwa,
hali hiyo imedhibitiwa
jeshi la ulinzi limeenda kwa ombi la RC ambapo wakiwa njiani kuelekea huko askari 4 wamefariki kwa ajali ya gari

Nawapongeza askari waliofanya kazi katika mazingira magumu kurudisha hali ya amani

ANAENDELEA

Upuuzi mtupu, bado hataki kuamini kwamba tatizo ni serikali kutotaka kukaa na wana mtwara. Bi kiroboto kaahirisha bunge hadi kesho. Kodi za Watanzania zinatumika.
 
Nashangaa mjengwa hajatoa tathmin ya kinafki ya yaliyotokea jana mpaka mda huu kwamba aliongea na wanajeshi mda mfupi kabla ya kupata ajali.
 
Back
Top Bottom