Taarifa ya serikali bungeni kuhusu vurugu za Mtwara

Taarifa ya serikali bungeni kuhusu vurugu za Mtwara

mbona hawaelezi wana mtwara watafaidiki vipi kwa gesi ya kuchukuliwa? simple answer required

Hoja imebadilika sio kufaidika Mtwara tena,ni kufaidika Taifa lote! Faida ya Taifa Mbele na sio Mtwara...think Big!
 
Nashangaa mjengwa hajatoa tathmin ya kinafki ya yaliyotokea jana mpaka mda huu kwamba aliongea na wanajeshi mda mfupi kabla ya kupata ajali.

baadaye atasema walimpigia simu na ni rafiki zao! Gamba hilo
cc: maggid
 
Last edited by a moderator:
Vyama vya siasa na taasisi za kiraia wanahusika nchimbi kabai isha.
 
Watanzania hali ni tete sn asubuh hii, nyumba za raia zinachomwa moto, mabanda ya biashara pia yanateketea kw moto na moshi umetanda anga lote. Tetesi zinasema kuw polisi ndo wanafanya uharifu huu....

---------------------------------------------------

Leo pia bado hapajatulia? Tuwekee picha mkuu
 
Nashangaa mjengwa hajatoa tathmin ya kinafki ya yaliyotokea jana mpaka mda huu kwamba aliongea na wanajeshi mda mfupi kabla ya kupata ajali.

This time atakua aliongea na Davis Mwamunyange muda mfupi kabla ya askari wake kupata ajali kisha akaongea na rais.
 
Chadema wanahusika sana hapa kwa kuwajaza ujinga wananchi
 
inabidi watupe taarifa ya uhakika kuhusu kinachotokea huko mtwara
 
Kwa maana hiyo tayari sitting allowance ya leo imeshaingia!
 
tofauti zetu tuzizungumze.,...serikali inalaani vikali vurugu hizo, serikali inaendelea kufatilia athari zilizopatikana na hatua stahiki zitachukuliwa...hakuna atakayepona kwa hili

kwa nini unaongea peke yako kwenye uzi? are you nuts?
 
Katika vyama vya siasa vinavyohusika alivyovitaja nchimbi chadema na cuf hawatakwepa lawama hizi.
 
Inasomwa na Nchimbi badala ya PM,

Anasema chanzo kikuu cha vurugu ni kupinga gesi kusafirishwa kutoka Mtwara hadi Dar. Vurugu zilianza kwa kusambazwa vipeperushi vya kuhamasishana kufanya vurugu

Athari
Nyumba ya Mbunge imechomwa, ofisi za CCM kata, Nyumba na ofisi mbalimbali
watu 91 wamekatwa, hali hiyo imedhibitiwa jeshi la ulinzi limeenda kwa ombi la RC ambapo wakiwa njiani kuelekea huko askari 4 wamefariki kwa ajali ya gari

Nawapongeza askari waliofanya kazi katika mazingira magumu kurudisha hali ya amani

ANAENDELEA
Je, RC anayo mandate ya kuomba JWTZ kufanya kazi maalum (kama wanavyopenda kuziita)?
 
Hawa sasa tumewachoka kwani wao hawaoni tatizo la haya mambo yote kuwa ni wao wenyewe,bila ya kuboresha maisha ya wanamtwara kwanza kama kuboresha Bandari ya na miundombinu mingine na hii gesi yao wakawa wao ndio watu wa kwanza kufaidika kasha mambo mengine yafuate nyuma ,"Kwani ukila na kiposho usimshike mkono" sasa serikari imesahau kula na wana mtwara ina washika mikono ,cha moto kinawakuta.Huu ni mwanzo tu mengi yanakuja sio mtwara tu bali maeneo mengi wamechoka kushikwa mkono wakati wa kula.
 
Watanzania hali ni tete sn asubuh hii, nyumba za raia zinachomwa moto, mabanda ya biashara pia yanateketea kw moto na moshi umetanda anga lote. Tetesi zinasema kuw polisi ndo wanafanya uharifu huu....

acha uzushi ke...e wewe, unapenda sana kuandika uchafu wako hapa jukwaani
 
Hii tabia ya kwenda kujadili masuala tata kama haya sirini sijui itatufikisha wapi?

Tabia ya kuingia Bungwni na kutoka on daily basis kwanza inaonesha udhaifu mkubwa na woga wa MaCCM katka kukabiliana na changamoto!
 
Kwa ustaaebu wa watanzania cyo jambo jema vyama vilivyohusika na hili lkn popote pale walipo nadhani wanajitambua na madhumuni yake wanayajuwa wao tunawaomba tuu waache mara moja kama wanataka uhuni huu waende kwingine wakafanye cyo Tanzania . Na nina sema kweli vitendo vya kufirisika ki siasa ndiko huku maana huwezi kuwashawishi wananchi kuvunja sheria ili hali ww eti wazo lako limekataliwa kuungwa mkono au kukubaliwa na serikali
 
Back
Top Bottom