Vin Diesel
JF-Expert Member
- Mar 1, 2011
- 9,087
- 6,393
Vin Diesel nisipo mpata mchumba a'ngu mie na wewe,kwa taarifa yako tayari natembea na RB/102/CHITCHAT/ 2013 wewe utakuwa unajua alipo mchumba aangu
mkuu Slave kama ni mke umepata. Hongera sana. Evelyn Salt mimi namjua tangu utoto wake kipindi hicho hajajua hata kuvaa. ni mtoto mwenye adabu na aliyepata malezi mema. Nakuomba umtunze na umpunde kwa moyo wote. Huyu mtoto umemkuta hana kovu na mtoto uso unaita na hauhitaji gharama coz mamiz tu au AYU yanatosha na mtoto anapendeza. so mtunze. nawatakia familia njema yenye furaha. mia
Mkuu Slave wajua Evelyn Salt ananipenda ila nipo radhi kumuacha aje kwako....mke wangu Mamndenyi anatosha sana...
King'asti anaweza kukusaidia kumpata...
mama kadogoo mzima wewe?? salamu kwa mwanangu! heri ya mwaka mpya kwenu wote!Heri ya mwaka mpya mke mwenza... Afu upunguzege umbea.
Afu wewe..!! Heri ya mwaka mpya!!!
tayari nimetuma mashushushu wakuchunguze nyendo zako.king'ast nae anavyopenda pesa,mie namjua dada yangu nitampa kitu kidogo amsakuwe kila kona.
Hakikisha hao mashushushu wawe wa kike....ha ha...
mama kadogoo mzima wewe?? salamu kwa mwanangu! heri ya mwaka mpya kwenu wote!
mh.... may be kapata tetesi una inch 12!!!! Hahahaaaa... Slave hiv una inch ngapi vile???
mia aka 100 nashukuru sanamkuu Slave kama ni mke umepata. Hongera sana. Evelyn Salt mimi namjua tangu utoto wake kipindi hicho hajajua hata kuvaa. ni mtoto mwenye adabu na aliyepata malezi mema. Nakuomba umtunze na umpunde kwa moyo wote. Huyu mtoto umemkuta hana kovu na mtoto uso unaita na hauhitaji gharama coz mamiz tu au AYU yanatosha na mtoto anapendeza. so mtunze. nawatakia familia njema yenye furaha. mia
hahahahahah!!!!! mdada mdada punguza ukali wa maneno charminglady mie nina inch moja tu ila mwaka kesho nitaomba uraia wa kenya kwa hivo nitakuwa na inch mbili? kwani alikuambia yeye anapenda inch ngapi? sitaki ni muuzi mrembo wangu nataka afurahie mapenzi ati
Ahaaaaaa..... megundua alichokimbia!! Chibamiaaaaaaaaa :doh: :doh: :doh:
Ndo maana yupo kimya!!!!
Mie mzima dia, hofu kwako. Kadogoo amekumisije sasa? Unidipu baadae ntakupigia umsalimie!mama kadogoo mzima wewe?? salamu kwa mwanangu! heri ya mwaka mpya kwenu wote!