Evelyn Salt
Platinum Member
- Jan 5, 2012
- 78,917
- 172,845
Namsubiri Evelyn Salt aje hapa....haiwezekani nasema.
Huku ukifyatuka tu utatuua mdada.Rabeka Baba V samahani kwa kuchelewa kufika nilikuwa mbali kidogo....
mupenzi[MENTION]slave[/MENTION] usisikilize maneno ya [MENTION]charminlady[/MENTION] na Vin Diesel sijui nipo jukwaa gani wanansingizia tu....
Wifi angu Arabela mi penda wewe pia!!!!
Huku ukifyatuka tu utatuua mdada.
Rabeka Baba V samahani kwa kuchelewa kufika nilikuwa mbali kidogo....
mupenzislave usisikilize maneno ya charminlady na Vin Diesel sijui nipo jukwaa gani wanansingizia tu....
Wifi angu Arabela mi penda wewe pia!!!!
hakika sikukoseakuchagua njoo kipenzi changu wakuda tayari walikuwa wameanza kunicheka eti umenikimbia hasa huyu@Vin Diesel love yuu mamito Evelyn Salt.:A S-rose::A S-rose:
I love u too ma hubby....
wala hata usisikilize maneno ya Vin Diesel asije kutugombanisha bure!!!
ntakupa ishu zake baadae!!!
hahaha! Wewe leo umekuwaje? Mbona unataka kuvunja ndoa yangu wewe.nitalia nawewe mwaka hutakuwa mbaya kwako ngoja nimwite daddy wako aje aone
Namsubiri Evelyn Salt aje hapa, nimemtumia ujumbe muda mrefu naona kimya, ngoja nimtume charminglady akamtafute ili twende sawa
Rabeka Baba V samahani kwa kuchelewa kufika nilikuwa mbali kidogo....
mupenzi[MENTION]slave[/MENTION] usisikilize maneno ya [MENTION]charminlady[/MENTION] na Vin Diesel sijui nipo jukwaa gani wanansingizia tu....
Wifi angu Arabela mi penda wewe pia!!!!
Mmhhh...??? hata sijaona aisee
kwani nani alikuambia atakuwa nyabulogoya! yeye anakaa mkolani kule nyanhingiNshamsaka hadi kwao kule nyabulogoya hayupo duh...... Alichokikimbia kitakuwa ni cha aibu aisee!!!!
Mkuu Slave njoo nkukague kwanza ili nione kama kweli utamfaa shost angu..... :lol: :lol:
toba!! Inamaana kunaukaguzi utafuatia?
Daddy nilimaanisha uraia wa nchi ngapi??
usijali mpendwa niliangalia bila miwani yangu...
kabla hujaoa hapa kuna kamati kibao...ukaguzl ni lazima hatutaki ndoa kuvunjika kwa sababu ya ugumu wa viuno, vibamia n.k