Taarifa ya Msiba..

Taarifa ya Msiba..

Pole sana Mkuu.
Lakini hii concept ya bwana kutoa na kisha kutwaa inahitaji mjadala hii.
 
Pole xxana mkubwa...
Mungu akutie nguvu nna faraja...
Tuko pamoja.
 
Mwenyezi Mungu aiweke roho ya Baba yake Mzee wa Kula kwa Tindo pahali panapomstahili...
 
Back
Top Bottom