Taarifa ya Msiba..

Taarifa ya Msiba..

Pole sana mkuu. Jipe moyo.
===========================

Mwanadamu aliyezaliwa na mwanamke siku zake za kuishi si nyingi, naye hujaa taabu. Yeye huchanua kama vile ua, kisha hukatwa; Hukimbia kama vile kivuli, wala hakai kamwe. AYUBU 14: 1 - 2

Amina.!!
 
Salam wana JF..
Nimefikwa na Msiba wa Baba yangu Mzazi..
Bwana alitoa
Bwana ametwaa.
Amen..

Pole sana ,ni safari yetu wote,baba yetu katutangulia.Bwana alitoa,bwana ametwaa,jina lake lihimidiwe.Mungu aiweke roho ya baba yetu mahali pema peponi,Amina
 
Pole sana mkuu. Hakuna kitu kigumu kama kufiwa. Nilifiwa na baba yangu wakati naenda hom nilijikuta natoa machozi njia nzima. Mungu akutie nguvu
 
Pole sana mkuu,
Kazi ya Mungu haina makosa.Tuliobaki tujiulize tumejindaaje?maana hatujui siku wala saa.

R.I.P Baba Kula kwa Tindo.
 
Pole sana Ndugu! Apumzike Kwa Amani Father!
 
Back
Top Bottom