Taarifa ya Msiba..

Taarifa ya Msiba..

Poleni sana kwa msiba na Mungu awatie nguvu katika kipindi hiki kigumu. Amen
 
Salam wana JF..
Nimefikwa na Msiba wa Baba yangu Mzazi..
Bwana alitoa
Bwana ametwaa.
Amen..

Innalillahi, wainna ilayhi raajiun (Hakika sisi ni wa M/Mungu, na kwa hakika kwake sisi sote tutarejea). Mungu amsamehe makosa yake na amweke mahala pema, Aamin.
 
Asanteni saana wana JF kwa salam zenu za Rambirambi kwa kuondokewa na Baba yangu..
Hakika nafarijika kuwa sehemu ya familia ya JF..
Mungu awabariki sana..
Amen..

0713 766203..
 
Sana sana mkuu, sote pua zetu zimeelekea hukohuko kinachogomba ni kutangulia, Mungu amlaze mahala pema peponi, amina!
 
Back
Top Bottom