Taarifa ya Msiba...!

Ooooh!
Too bad!...na inasikitisha!
Basi wewe una kumbukumbu mpya zaidi ya huyu mana, na yapasa umwombee ili akapumzike mahala pa salama!

Bro nadhani itakuwa vizuri sisi member wa Arusha tukajipanga siku hiyo tukaondoka wote kuelekea Usa River.
 
Pole sana Freetown
Mwenyezi Mungu awape nguvu katika kipindi hiki kigumu. Amen

Mwanangu
 
Update;
Ni kwamba bahati mbaya Freetown hakupata ndege ya asubuhi kutoka doha to Dar. badala yake amepata ndege ya saa tano ambayo inafika Dar saa kumi na moja jioni. Saa kumi na mbili ataunganisha Precision to KIA. Wale wa Arusha we can join kumpokea saa moja na nusu usiku. Jumamosi kutakuwa na final respect pale nyumbani kwake kuanzia saa sita mchana (mabadiliko yoyote tutataarifiana) kabla ya kusafirisha mwili wa marehemu kuelekea Njombe - Iringa kwa Mazishi. Nadhani Kimey utakuwa mwenyeji wetu huko Iringa.
 
Bro nadhani itakuwa vizuri sisi member wa Arusha tukajipanga siku hiyo tukaondoka wote kuelekea Usa River.
Msindima usiogope tutaweka hadharani mambo yote, na tutashiriki kwa hadhi inayopasa. We kumbuka kuacha simu hewani-basi!
 
Tupo pamoja kamanda! R.I.P shem!!
 
mungu akupe rehema na nguvu katika kipindi hiki kigumu na ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi
 
Sahara, information hii ni muhimu sana, na ni update ya muhimu.
Nadhani sasa hii ndiyo itafuatwa.
 
Wakuu,
Kuna taarifa muhimu..
Ni kwwamba Mkuu FT ameshawasili nyumbani kwake UsaRiver Arusha kama dakika 8 zilizopita, yaani saa saa mbili na robo usiku huu..
Tutawajulisha kinachoendelea.
 
Mungu akutie nguvu katika kipindi hiki kigumu sana.Poleni wafiwa wote
 
"mwanadamu aliyezaliwa na mwanamke siku zake za kuishi si nyingi" my condolences Freetown and thanks PJ for update
 
Poleni sana, FT Mungu afanyike faraja kwa familia yako ktk kipindi hiki kigumu, tunakuombea. Mungu ailaze pema roho ya marehemu AMINA
 
Wakuu wote
Updates mpya kabisa za shughuli hii zimetolewa leo katika kipengele namba 4 cha original post pale juu...
Naomba tuipitie update hiyo, ili watakaokuwa interested, hasa wa maeneo ya huku Arusha wajipange kuenda huko kuaga!
 
The best update ever read in JF.....kudos.....

RIP mama FT
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…