KASULI
JF-Expert Member
- Aug 6, 2020
- 599
- 669
Serikali imetangaza kuanza kwa Tahasusi (Combination) mpya tano kwa ajili ya Wanafunzi watakaoingia Kidato cha Tano mwaka 2021 ili kuondoa changamoto ya ukosefu wa Wataalamu Nchini.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI, Seleman Jafo amesema Tahasusi hizo ni Fizikia, Hesabu na Kompyuta (PMC), Kiswahili, French na Chinese (KFC), Kiswahili, English na Chinese (KEC), Physical Education, Biology na Fine Art (PEBFA) na Physical Education, Geography, Economics (PEGE).
Jafo amesema Tahasusi ya PMC itatolewa katika Shule ya Sekondari ya Dodoma ambayo itakuwa maalumu kwa Wasichana ambapo kwa Wavulana itakuwa Sekondari ya Wavulana ya Iyunga.
Tahasusi ya KFC na KEC itatolewa katika Shule ya Sekondari ya Wasichana Morogoro na ya Wavulana Usagara wakati PEBFA na PEGE itatolewa Sekondari ya Wasichana Makambako, Sekondari ya Wavulana Kibiti na Sekondari ya Mpwapwa.
Kwani Fine Arts si ipo Olevel.? Kuna ubaya gani ikiwekwa kwenye Combination.?Pongezi za kupotezeana muda... computa wasome hata kuanzia primary, advance iwe compulsory, huo upana unaousema ni upi, coding? Acheni hizo bhana...
Chuo kikuu mtoto atachagua mwenyewe
Naona na mambo ya fine arts mnaleta advance yani mradi ujinga ujinga tu...
Hapo sasa inabidi Ndalichako aelezee zaidi
Kilimanjaro football clubKFC hili jina limekaa kisoka soka
Umefikiria vizuriNi bahati mbaya sana Watu tunachangia Kihisia zaidi huku tukikosoa ( kumkosoa ) mno aliyetangaza.
Ukituliza ( mkituliza ) Akili zenu na Kutafakari kwa Kina hizo ( hizi ) Tahasusi ( Combinations ) za Kitaaluma ( Kielimu ) ni nzuri kwa Nyakati tuliopo na zina Tija vile vile.
Watanzania Kukosoa ( Kuhoji ) mambo ( masuala ) ni haki yetu ila kabla ya Kukosoa huko tuwe tunatakari kwa Kina hadi Kujiridhisha Kimantiki.
Nina uhakika Tangazo hili asingelitoa Waziri husika TAMISEMI Suleiman Jafo ambaye sasa anachukiwa huku akihukumiwa kwa Itikadi zetu za Siasa wala asingepingwa hivi na lingekubalika na wengi.
Binafsi ninaipongeza tu Serikali kwa hili.
tupo angalau walimu wa tuisheni tumepata pa kupumulia sasaHivi kuna wataalam wa hizi combination au ndio bora liende
Elimu yetu ipo ICU kwa kweli
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Umefikiria vizuri
ASANTE MKUUKuna vitu huwezi kuelewa mpaka uwe upo kwenye field husika.. dunia imebadilika sana inatakiwa twende na speed ileike inayofaa mfano HKL,HGK n.k tayari wapo wa kutosha mtaani hauoni kama mtaala mpya utapanua soko jipya la ajira mfano mtu akisoma kichina combined na Kiingereza na Kiswahili huyu mtu huoni atakuwa na market sana kwenye hii dunia yetu kwa sasa??
Waziri wa Tamisemi ndiye mwenye dhamani elimu kwa shule za awali,msingi na sekondari nchini Tanzania. Kwa elimu ya juu iko chini ya wizara ya elimuKujipendekeza
Kozi zipo vyuo vikuu kama wewe ni mdau ungezifahamu
UDOM: DEGREE PROGRAMMES IN THE SCHOOL OF HUMANITIES
The school of Humanities offers the following undergraduate degree programmes leading to attainment of Bachelor degree:
1. Bachelor of Arts in Kiswahili
2. Bachelor of Arts in Kiswahili Literature
3. Bachelor of Fine Arts and Design
4. Bachelor of Arts in Theatre and Film
5. Bachelor of Arts in English
6. Bachelor of Arts in Literature
7. Bachelor of Arts in French
8. Bachelor of Arts in Arabic
9. Bachelor of Arts in Japanese
10. Bachelor of Arts in Korean
11. Bachelor of Arts in Russian
12. Bachelor of Arts in History
13. Bachelor of Arts in Cultural Heritage and Tourism
14. Bachelor of Arts in Translation and Interpretation
15. Bachelor of Arts with Education
UDOM: DEGREE PROGRAMMES IN THE SCHOOL OF HUMANITIES
The school of Humanities offers the following undergraduate degree programmes leading to attainment of Bachelor degree:
1. Bachelor of Arts in Kiswahili
2. Bachelor of Arts in Kiswahili Literature
3. Bachelor of Fine Arts and Design
4. Bachelor of Arts in Theatre and Film
5. Bachelor of Arts in English
6. Bachelor of Arts in Literature
7. Bachelor of Arts in French
8. Bachelor of Arts in Arabic
9. Bachelor of Arts in Japanese
10. Bachelor of Arts in Korean
11. Bachelor of Arts in Russian
12. Bachelor of Arts in History
13. Bachelor of Arts in Cultural Heritage and Tourism
14. Bachelor of Arts in Translation and Interpretation
15. Bachelor of Arts with Education
UDOM: DEGREE PROGRAMMES IN THE SCHOOL OF HUMANITIES
The school of Humanities offers the following undergraduate degree programmes leading to attainment of Bachelor degree:
1. Bachelor of Arts in Kiswahili
2. Bachelor of Arts in Kiswahili Literature
3. Bachelor of Fine Arts and Design
4. Bachelor of Arts in Theatre and Film
5. Bachelor of Arts in English
6. Bachelor of Arts in Literature
7. Bachelor of Arts in French
8. Bachelor of Arts in Arabic
9. Bachelor of Arts in Japanese
10. Bachelor of Arts in Korean
11. Bachelor of Arts in Russian
12. Bachelor of Arts in History
13. Bachelor of Arts in Cultural Heritage and Tourism
14. Bachelor of Arts in Translation and Interpretation
15. Bachelor of Arts with Education