Mtaala wa Elimu 2023 (Kidato V na VI): Tahasusi zafutwa, nyingine kama HGFa, KArCh, KTeFi zaongezwa

Influenza

JF-Expert Member
Jul 1, 2018
1,445
3,403
Katika Mtaala wa Elimu wa Kidato cha V na VI 2023 umefanya mabadiliko ya Tahasusi ambapo Tahasusi katika Kidato cha V na VI zimegawanywa katika maeneo saba ya ujifunzaji ya Sayansi ya Jamii, Lugha, Elimu ya Biashara, Sayansi, Michezo, Sanaa na Elimu ya Dini.

Idadi na aina ya tahasusi zitapitiwa mara kwa mara kuhakikisha zinakidhi mahitaji halisi ya Taifa katika wakati husika.

Ili kuongeza wigo wa fursa za kujiunga na elimu ya juu, idadi ya masomo katika kila tahasusi haitakuwa chini ya matatu na haitazidi manne kulingana na uwezo na malengo ya mwanafunzi.

Aidha, aina ya masomo katika kila tahasusi, imezingatia malengo ya kitaalamu (career aspirations and pathways) ya wahitimu na rasilimali zitakazokuwepo shuleni.

Pia, mwanafunzi wa Elimu ya Sekondari Kidato cha V na VI ataruhusiwa kuchagua masomo ya ziada, yakiwemo yale ya Mkondo wa Elimu ya Amali, kulingana na ratiba na uwezo wa shule husika ili kujiongezea umahiri utakaomwezesha kumudu maisha yake baada ya kuhitimu.

Tahasusi 1.png

Tahasusi 2.png

Tahasusi 3.png

Soma Mtaala Mzima hapa;
 
Attachments

  • MTAALA WA ELIMU YA SEKONDARI KIDATO CHA V-VI.pdf
    1.1 MB · Views: 26
Haya ndio mambo ya kuchamba kwingi mwisho unashika nyaaa. Haya makorokoro yote ya nini?
 
Katika Mtaala wa Elimu wa Kidato cha V na VI 2023 umefanya mabadiliko ya Tahasusi ambapo Tahasusi katika Kidato cha V na VI zimegawanywa katika maeneo saba ya ujifunzaji ya Sayansi ya Jamii, Lugha, Elimu ya Biashara, Sayansi, Michezo, Sanaa na Elimu ya Dini.

Idadi na aina ya tahasusi zitapitiwa mara kwa mara kuhakikisha zinakidhi mahitaji halisi ya Taifa katika wakati husika.

Ili kuongeza wigo wa fursa za kujiunga na elimu ya juu, idadi ya masomo katika kila tahasusi haitakuwa chini ya matatu na haitazidi manne kulingana na uwezo na malengo ya mwanafunzi.

Aidha, aina ya masomo katika kila tahasusi, imezingatia malengo ya kitaalamu (career aspirations and pathways) ya wahitimu na rasilimali zitakazokuwepo shuleni.

Pia, mwanafunzi wa Elimu ya Sekondari Kidato cha V na VI ataruhusiwa kuchagua masomo ya ziada, yakiwemo yale ya Mkondo wa Elimu ya Amali, kulingana na ratiba na uwezo wa shule husika ili kujiongezea umahiri utakaomwezesha kumudu maisha yake baada ya kuhitimu.

Soma Mtaala Mzima hapa;
Christianity Knowledge vp?? au ndo Divinity
 
Duh kufaulu additional mathematics?
Dah kweli zama zetu na shule zetu hizi za Serikali ambazo hazina additional mathematics, watu wasingeweza soma mchepuo wa PCB.
 
M
Katika Mtaala wa Elimu wa Kidato cha V na VI 2023 umefanya mabadiliko ya Tahasusi ambapo Tahasusi katika Kidato cha V na VI zimegawanywa katika maeneo saba ya ujifunzaji ya Sayansi ya Jamii, Lugha, Elimu ya Biashara, Sayansi, Michezo, Sanaa na Elimu ya Dini.

Idadi na aina ya tahasusi zitapitiwa mara kwa mara kuhakikisha zinakidhi mahitaji halisi ya Taifa katika wakati husika.

Ili kuongeza wigo wa fursa za kujiunga na elimu ya juu, idadi ya masomo katika kila tahasusi haitakuwa chini ya matatu na haitazidi manne kulingana na uwezo na malengo ya mwanafunzi.

Aidha, aina ya masomo katika kila tahasusi, imezingatia malengo ya kitaalamu (career aspirations and pathways) ya wahitimu na rasilimali zitakazokuwepo shuleni.

Pia, mwanafunzi wa Elimu ya Sekondari Kidato cha V na VI ataruhusiwa kuchagua masomo ya ziada, yakiwemo yale ya Mkondo wa Elimu ya Amali, kulingana na ratiba na uwezo wa shule husika ili kujiongezea umahiri utakaomwezesha kumudu maisha yake baada ya kuhitimu.

Soma Mtaala Mzima hapa;
Mpaka leo miaka zaidi ya 60 ya Uhuru, sisi kama Taifa bado hatujitambui tunataka nini na tunataka kwenda wapi??!!??
Mitaala ya Elimu ni suala nyeti sana ktk nchi, lakini ona jinsi watawala walivyofanya? They're completely not serious, hii kweli ni Tz!
Walishindwa nini kufanya utafiti wa kina kwanza kwa kuushirikisha umma wote wa Raia wa nchi hii pamoja na kufanya Feasibility Study ktk nchi kadhaa hapa duniani kabla ya kufikia hitimisho ya jambo hili????
 
hivi kusoma kiswahili na kiingereza kuanzia form 1 hadi 6 kunamnufaisha vipi mtanzania. maana ndio kundi kubwa la wasomi limepitia huko.

kwanini hili kundi kubwa lisiandaliwe njia nyingine ya elimu mbali na hii ya kujifunza fasihi andishi wakati si tamaduni yetu?

yaani taifa lifanikiwe kwa kumuandaa mtu miaka 6 kwa ajiri ya uandishi.
 
Back
Top Bottom