Taarifa ya kifo cha wazazi wangu

Ni habari za kusikitisha sana! Pole sana, na Mwenyezi Mungu akujaze nguvu na hekima katika kipindi hiki kigumu kwako.
 
Pole sana ndugu yangu.....ni muda tu unaoweza kukufariji. Mungu awalaze mahali pema peponi.
 
Pole sana Mungu awabariki na kuwapa nguvu ya uvumilivu katika kipndi hiki cha majonzi, Mungu awapunzishe maremu mahali pema peponi
 
......pole sana na Mungu akutie nguvu katika kipindi hichi kigumu, kuna binadamu wakatili sijapata kuona!! Utafikiri hao hawatakufa vile, RIP wazazi.
 
Mungu aziweke Roho za Marehemu pema peponi, pole sana, Let the spirit of Mighty God comfort you ceaselessly
 
Pole Mkuu, Mungu awape subira na nguvu katika kipindi hiki kigumu, wewe na familia yako na awape marehemu wazazi wako malazi mema (Ameen).
 
Inasikitisha sana, pole sana kiongozi Mungu akujaze nguvu ktk kipindi kigumu unachopitia na azilaze roho za marehemu mahala pema peponi, AMINA.
 
Ndugu wa JF, Salaam,

Nasikitika kuwafahamisha kuwa wazazi wangu usiku wa kuamkia tarehe 2 May 2011 walivamiwa na majambazi wasiojulikana WAKAWAUA WAZAZI wangu wote kwa kuwachoma visu huko Muganza, Rulenge, Ngara.

Nimasikitiko makubwa sana.

Pole sana mshirika.
Mungu akupe nguvu na ujasiri wa kukabiliana na simanzi hii kubwa.
 
Ndugu wa JF, Salaam,

Nasikitika kuwafahamisha kuwa wazazi wangu usiku wa kuamkia tarehe 2 May 2011 walivamiwa na majambazi wasiojulikana WAKAWAUA WAZAZI wangu wote kwa kuwachoma visu huko Muganza, Rulenge, Ngara.

Nimasikitiko makubwa sana.

Jamani inauma sana........May the LORD rest them in Peace.......ninaogopa kuwahukumu hao majambazi kwa kuwa tumeambiwa tusihukumu lakini ninaomba mwenyezi MUNGU anisamehe in advance.....................hawa majambazi na walaaniwe!

Pole ndugu yangu
 
Inalilah waina ilayhi rajiuun,May their soul rest in heaven..
i recomend uwasomee dua kwa wingi to show that u love them,for muslim they call it khitma,wakristo cjui wanaitaji hii kitu
ALL the best
 
Pole sana mkuu. Huu ni msiba mkubwa sana kwako na sisi wanajamii wa JF. Mungu akutie nguvu katika wakati huu mgumu.
 
ndugu wa jf, salaam,

nasikitika kuwafahamisha kuwa wazazi wangu usiku wa kuamkia tarehe 2 may 2011 walivamiwa na majambazi wasiojulikana wakawaua wazazi wangu wote kwa kuwachoma visu huko muganza, rulenge, ngara.

Nimasikitiko makubwa sana.

binadamu tumeubwa na kupumbazwa na uhai tuliopewa.hakika waliofanya kitendo hicho lazima mungu atawalipa tu kwa ubaya wao.shukuru kila jambo kwani ndio uthibiti wa imani.namuomba mwenyezi mungu akupe moyo wa ujasiri,wao wametangulia na sisi wote tunafuata.kumbuka;binadamu na matatizo kamwe hatutengani,pia usikate tamaa na kujutia kuumbwa kwako,hiyo ni dhambi kubwa!hakuna anayejua kesho yake hapa duniani....ni fumbo kubwa sana tulilowekewa na muumba wetu!
 
Mungu Akupe uvumilivu, ustahimilifu wa kuweza kuikabili hali hii ya masikitito na majonzi kwako.
Pole sana,JF ni Moja na sisi ni Wamoja
Apumzike Kwa Amani Mpendwa Baba yetu!
 
Ndugu wa JF, Salaam,

Nasikitika kuwafahamisha kuwa wazazi wangu usiku wa kuamkia tarehe 2 May 2011 walivamiwa na majambazi wasiojulikana WAKAWAUA WAZAZI wangu wote kwa kuwachoma visu huko Muganza, Rulenge, Ngara.

Nimasikitiko makubwa sana.

Pole sana Mkuu, kwa msiba mzito ulioupata
 
Back
Top Bottom