Ndugu zangu wana JF, Asanteni sana kwa kunifariji kwa jumbe zenu. Mimi na familia yangu tuna wakati mgumu sana hasa ukizingatia mimi ndiye kijana mkubwa kwetu na nimeachiwa yatima watano. Ni kazi kubwa kuhimili kishindo hiki!!Kusema ukweli wazazi wangu walichinjwa kiasi kwamba hadi vichwa vilikiondolewa. Imagine kitendo hicho, na watoto walikuwa wakitazama hivi....!!
Tumeumia sana, make binafsi hata machozi sikupata, nilibaki nimeduwaa tuu, na hadi sasa, kila ninachokitazama, nawaona wazazi wangu wapendwa...