Taarifa ya kifo cha wazazi wangu

Pole sana kuondokewa na wazazi kwa mpigo tena wote wawili ni maumivu yasiyoelezeka Mungu yuko pamoja na wewe atakusimamia
 
My sincere Condolescence . God give you strenght to overcome the torment you are going through.

Remember time will heal the pain. RIP WAZAZI.
 
PMNBuko!
Pole sana mpendwa wetu,
Hamna neno la kutosha kukutuliza.
Ila Mungu akujaze ujasiri katika kipindi hiki kigumu,kuwa imara kwa familia yako!
 
POle Sana. Kwa ufukara wetu tuna mambo mengi sana na actualy ya kutosha kutuua. Nadhani hatuhitaji tena majambazi kuongezeka kwenye hizo shida zetu. Jamani tuache uovu. maisha yenyewe tayari yanatuexpose kwenye risk nyingi sana. Pole Sana ndugu yangu. Mungu awapokee wazazi wetu peponi. Amina.
 
Pole sana ndugu kwa msiba huo mzito.Mungu awatie nguvu katika kipindi hiki kigumu.
 
Pole sana, Raha ya milele uwape eeh BWANA na mwanga wa milele uwaangazie, wapumzike kwa amani. AMEN.
 
It is so sad! Pole sana ndugu yetu kwa msiba mkubwa kiasi hiki! Mungu akupe neema ya nguvu katika kipindi hiki kigumu
 
RIP Baba na Mama PMNBuko. Walaaniwe waliofanya kitendo hicho. Pole sana ndugu yetu. Mungu awe nawe katika wakati huu mgumu sana kwako.
 
Pole sana mpendwa, so sad ,watu wamebaki wanyama tu hasa huku mitaa ya mipakani. Mungu wetu aliye hai akupe nguvu na faraja wewe na familia katika kipindi hiki kigumu.
 
Pole sana kwa msiba huu. Ni msiba mzito wa kuondokewa na wazazi wote kwa pamoja lakini mtumainie Mungu yeye ndio muweza wa yote
 
Pole saana Mkuu. Nafikiria namna unavyojisikia yaani wazazi wote wawili kwa mpigo. Pole saana!
 
ndugu wa jf, salaam,

nasikitika kuwafahamisha kuwa wazazi wangu usiku wa kuamkia tarehe 2 may 2011 walivamiwa na majambazi wasiojulikana wakawaua wazazi wangu wote kwa kuwachoma visu huko muganza, rulenge, ngara.

Nimasikitiko makubwa sana.

ni msiba mzito. Pole sana. Tuko pamoja nawe. Mwenyeezi mungu akupe uvumilivu na moyo wa subira !!
 
pole mkuu...najua upo kwenye wakati mzito/mgumu...upate nafuu mapema...tungependa kujua details kulikoni??
 
Pole sana Broda! Mungu awape faraja yake! Hao majambazi, mwachie Mungu yeye atalipiza kisasi!
 
Pole sana naimani dola itafuatilia na kuwatia nguvuni wahusika na Mungu akujalieni faraja na uvumilivu, POLE:grouphug:
 
Nimekanganyikiwa na taarifa hizi, na sina kauli tena!!:A S-rose:
Broda, pole sana ndugu yangu!
Mungu awasimamie katika shughuli yote ya jambo hili, na awafariji kwa jinsi ya upendo wake!
 
Pole sana Mdau, Mungu akupe ujasiri upite katika kipindi hiki kigumu kwa amani.
Roho za marehemu wapumzike kwa AMANI
 
Back
Top Bottom