Taarifa ya kifo cha member wa Jamii Forum

RIP
 
Hata mimi siku nikifariki, kuna mwana mmoja ambaye hata sio memba wa JF atawaletea taarifa za kifo changu kwa maana ni yeye tu ndiye anayejua kuwa mimi ndiye "Mtoto wa Shule"!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…