Passion Lady
JF-Expert Member
- Nov 17, 2012
- 8,694
- 4,646
BABA V we chochewa vijineno tu ili usipitishe ndoa yetu ifungwe,tutapigana humu ndani mjue,hao wachochezi tunawajuaE bana ee, nimezipata za Ruttashobolwa na fanta passion lady, huyu mzungu hunbig hata aibu hana, aje tu asiwe.na hofu mwambie tumemsamehe kwa buku jero, Chimbuvu si alisema ataweza kulitafuna fupa (@madame b) lililowashinda fisi (@bishanga, Ruttashobolwa na Erickb52) !??? asikimbie mji, mwambieni abaki hapahapa...
BABA V we chochewa vijineno tu ili usipitishe ndoa yetu ifungwe,tutapigana humu ndani mjue,hao wachochezi tunawajua
Kuwa mpole passion lady, mwenyekiti is always fair
Babu Asprin my passion lady huto muweza kumkagua.
Bora baba v kawakataa tumgande huyohuyoBaba V tafadhali naomba ufungishe ndoa yangu na passion lady maana vigezo vyote vimezingatiwa!
CHILLI looooo,mwenzio katoka jela hata hajapumua ushaanza,huna tofauti na FILIPO!wanokoooo
Unajuaje..!!? ninavyomjua Asprin ni kuwa kabla mtu hajatinga chit chat huwa tayari keshakagua, pale ID inaposubiri verification yeye ndo huwa anamalizia pale
Karibu sana mkuu, utatukuta makirikiri kama kawa kama dawa
Sasa maombi ya harusi yatakapokujia, hakikisha umepata uthibitisho wa kukaguliwa kwa huyo passion lady. Otherwise.....!!!
Nasikia kama kuna mtu ameniita vileeeee?? Can I help u pls??!
Hebu njoo PM tulonge kidogo.....:mwaaah::mwaaah::mwaaah:nina mpango ww uwe Floor manager ASPRIN usiniangushe legeza masharti bna
Hebu njoo PM tulonge kidogo.....:mwaaah::mwaaah::mwaaah:
nimekuita ndio acha tabia ya kuwahisha habari kabla ya wakati(umbea)
ha ha ha ha! Hakunaga siri kwa familia ya CC mama, halafu mwambie mumeo akufundishe heshima, utapigwa faini siku ingine kwa kumuita mume mwenza wa mumeo eti mmbea.
heshima ninayo sana shemeji, lkn ww kuwahisha habari namna hiyo kwa baba v ndio nini?pia usimwambie my huby kama nimekuita mmbea atachukia bure!