Mostly ma'mtu ma'Hero na mapiganaji ndiyo huaga kihivi Bi'dada !
Refar Mz. Madiba na Roben Prison! Walter Sisulu , Ken Sarowiwa na wafananao na hao.
Kwa kuji sakrifais kwao impakti badae .
Huyo huyo hakuna mwingie kwa ni vipi shem???
Mr Rocky come this way pulizi
Mwambie aelewe naona anahangover ya rubisi
Hapo kwenye vigezo ndio ninapopasimamia! Nimemwambia huyo passion lady kwamba hawezi kuolewa bila taarifa za ukaguzi kuletwa kwako. Cha ajabu hata Ruttashobolwa nae anashindwa kutii sheria bila shuruti! Wameshindwa kumheshimu hata Asprin
Pole sana Baba V na karibu tena jamvini! Tulikukosa sana hasa kwenye usimamizi wa sheria za ndoa. Hadi Ruttashobolwa anataka kumwoa passion lady kabla hajakaguliwa! Nimekomaa nao na najua kwavile umekuja, kitaeleweka tu!
Asante sana mkuu, ila habari ya ukaguzi iko nje ya kurasa za katiba yangu, nadhani hiyo makitu iko kwa mzee wa maternity ward Asprin, kwangu vgezo vikizingatiwa sina objection
Hapo kwenye vigezo ndio ninapopasimamia! Nimemwambia huyo passion lady kwamba hawezi kuolewa bila taarifa za ukaguzi kuletwa kwako. Cha ajabu hata Ruttashobolwa nae anashindwa kutii sheria bila shuruti! Wameshindwa kumheshimu hata Asprin
We waache tu....... dawa yao inachemka!:becky::becky::becky:
nyie kazaneni na habari ya ukaguzi wakati leo kamati itakayosimamia shughuli nzima itatajwa,halafu we FILIPO mmbayaaaaaaaaa!

ewalaaaaaaaaaa