Ndugu wana JF, hasa wadau wenzangu jukwaa la siasa,nimeona kuna umuhimu wa kuwapa tu taarifa kwamba nimepotea kidogo humu ili kujipanga kutokana na vitisho navyokumbana navyo kutokana na michango yangu mbalimbali humu,hasa kuhusiana na misimamo yangu dhidi ya madhaifu ya chama changu cha CCM kuelekea 2015;
kwa wengi,naamini watakubaliana nami kwamba lengo langu limekuwa ni kujenga,sasa hawa wachache kwa mtazamo wao ni kwamba nabomoa chama (CCM) kuelekea 2015;
vitisho hivi havijaanza leo lakini hivi karibuni,kasi imekuwa kubwa zaidi; mbali ya kupokea vitisho,pia nimedokezwa na vyanzo vyangu vya kuaminika sana kuhusu mpango uliopo wa kunidhuru,hivyo niwe makini hasa in the public arena na nimetajiwa wahusika kwa "majina" na "kitaasisi"!
Au kama anajua kusoma table achungulie na hii;Angalia tarehe yako ya kujiunga JF halafu linganisha na hii;
nani amekutishia maisha? Mtaje[/QUOTE]
Ni wale walee!.. Wanaowaua na kuwatesa wanyakyusa!.. Kumbuka waliomtesa ULIMBOKA!.. Waliomtesa KIBANDA,... Waliomtilia sumu MWAKYEMBE!... Waliomuua MWANGOSI!... waliomtenda Prof MARK MWANDOSYA!... Waliomuua prof JUAN MWAIKUSA!... waliomuua MWAIKAMBO!... na sasa kazi inaendelea!!!!!!!!... Hivyo si vitisho JIHADHARI!... Lisemwalo lipo kama halipo LAJA!...
Watuhumiwa mpaka leo hawajakamatwa!.. Aliyemuua MWANGOSI anapelekwa mahakamani na gari la kifahari kama mfalme (SI KARANDINGA LA MAGEREZA) na kulindwa na polisi si maafisa magereza!... Hii ndiyo Tanzania yetu NCHI YA AMANI!
Ndugu wana JF, hasa wadau wenzangu jukwaa la siasa,nimeona kuna umuhimu wa kuwapa tu taarifa kwamba nimepotea kidogo humu ili kujipanga kutokana na vitisho navyokumbana navyo kutokana na michango yangu mbalimbali humu,hasa kuhusiana na misimamo yangu dhidi ya madhaifu ya chama changu cha CCM kuelekea 2015;kwa wengi,naamini watakubaliana nami kwamba lengo langu limekuwa ni kujenga,sasa hawa wachache kwa mtazamo wao ni kwamba nabomoa chama (CCM) kuelekea 2015; vitisho hivi havijaanza leo lakini hivi karibuni,kasi imekuwa kubwa zaidi; mbali ya kupokea vitisho,pia nimedokezwa na vyanzo vyangu vya kuaminika sana kuhusu mpango uliopo wa kunidhuru,hivyo niwe makini hasa in the public arena na nimetajiwa wahusika kwa "majina" na "kitaasisi"!
Ndugu zangu,ningependa kuwahakikishia kwamba pamoja na vitisho hivi ambavyo vinaweza kupelekea mtu kuteswa, kuwa sodomized na hata kuuwawa kijasusi, sitaacha kukipigania chama changu cha CCM kwani nafanya hivyo kwa msukumo wa ninacho kiamini,lakini hasa mapenzi yangu kwa nchi yangu ya Tanzania,na nina amini kwa dhati kabisa matatizo ya sasa ya CCM ni matokeo ya waharibifu wachache ambao watapita tu na kwenda zao na kutuachia chama ambacho ili kirudi katika uimara wake,kitahitaji ujenzi mpya (ndani au nje ya ikulu).
Nahitaji sana sala zenu,
Mungu ibariki Tanzania.
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
Pole sana Mkuu Mchambuzi.....Ila ni vizuri tukajiuliza maswali yafuatayo:
- Wamekutambua pamoja na kutumia hiden ID?na kama ndivyo ni kwa kiasi gani JF members wapo salama katika hili wimbi la kung`olewa kucha?
- Ukiona vipi waachie lichama lao karibu huku....:rockon:
Na mimi napokea vitisho kutoka vyombo vya dola sijui nifungue thread yangu na mimi nikombe maujiko?
sidhani kama atakuelewa,siunajua wengine wana ubongo wa samaki!Kwa akili zako finyu unadhani kwa vile unatumia jina feki hapa basi huwezi kujulikana.
Yaani unajiona uko secure kweli kwa kutumia jina lako feki la NAKEMEAUDINI.
But the button line humjui Mchambuzi ni nani na kama humjui ni bora kuuliza kuliko kuanika hadharani ujinga wako.
Ungekuwa unamjua Mchambuzi ni nani lazima ungekula matapishi yako yote na ya wengine wote walioandika kama wewe.
Kuuliza siyo ujinga, but ignorance is bliss.
Pole Mchambuzi ..........intimidations kama hizo hazikosekanagi. Kuwa makini ila baada ya kusema hivi watakupotezea. Badili ID ndelea na kazi