Taarifa kwa wana Chit Chat..

Taarifa kwa wana Chit Chat..

Last edited by a moderator:
kwa moyo wa dhati,bila kushurutishwa..nimekubali kua wako manoah sijali uliyopitia huko nyuma,hayo ni mapito tu na kwa kua umeahidi kubadilika na kua mtu mwema kwangu na kwa wana CC wote..pokea moyo wangu uwe wako.....nakupokea kama mtu mpya..Mungu atulinde atusaidie tudumu pamoja..
copy: cuzin snowhite Kaizer na member wa familia yangu wote walonipokeaga..teh tih teh...
Kaizer ilikuwaje tena?
yani kweli mi nilichora mistari ya SWALI ,KAZI, JIBU bado ulishindwa kuweka jibu na kuandika neno jawabu!
 
Last edited by a moderator:
ha ha ha ha ha ha ha snowhite..ebu tia neno ktk taarifa nilizotoa apo cuzin angu..
Kaizer ilikuwaje tena?
yani kweli mi nilichora mistari ya SWALI ,KAZI, JIBU bado ulishindwa kuweka jibu na kuandika neno jawabu!
 
Last edited by a moderator:
kwa moyo wa dhati,bila kushurutishwa..nimekubali kua wako manoah sijali uliyopitia huko nyuma,hayo ni mapito tu na kwa kua umeahidi kubadilika na kua mtu mwema kwangu na kwa wana CC wote..pokea moyo wangu uwe wako.....nakupokea kama mtu mpya..Mungu atulinde atusaidie tudumu pamoja..
copy: cuzin snowhite Kaizer na member wa familia yangu wote walonipokeaga..teh tih teh...
mimisa mbona kama umefanya haraka umemchunguza vizuri huyu manoah?
 
Last edited by a moderator:
Umetumwa au umejituma? au umelewa tii kiu yako aaah! mimisa wangu kawachoka na maneno yenu kha!
Then i hope you know nothing a man says is ever that serious..well, except me, ofcourse!!!
 
Last edited by a moderator:
Kaizer ilikuwaje tena?
yani kweli mi nilichora mistari ya SWALI ,KAZI, JIBU bado ulishindwa kuweka jibu na kuandika neno jawabu!
snowhite mwl wangu.....unajua kule MMU tulikuwa na issue ile ya binti yako, ila usisahihishe jawabu we angalia njia...mwisho wa siku tutapatamo jawabu. mimisa ndo maneno ya mwalimu?
 
Last edited by a moderator:
Kwa mwendo huu acha nikae pembeni kwanza.. mzigo umeisha nielemea miguu haina nguvu tena, mimisa nakupenda ila vikwazo vimezidi kha!
 
Last edited by a moderator:
Kaizer na cuzin snowhite..mnamaanisha hamjaridhia ama?..say sth pliiziiioooo
snowhite mwl wangu.....unajua kule MMU tulikuwa na issue ile ya binti yako, ila usisahihishe jawabu we angalia njia...mwisho wa siku tutapatamo jawabu. mimisa ndo maneno ya mwalimu?
 
Last edited by a moderator:
kweli vikwazo vimezid..ni vingi..haswa kwa upande wako manoah

Back
Top Bottom