Taarifa kwa wana Chit Chat..

Taarifa kwa wana Chit Chat..

kaka mie hawajui mimisa ninavyo mpenda alafu wenyewe wanaleta mchezo hapo, mtambuzi kasema kaisha nichukulie kwenye kiloba cha 50kg
Yesu na Maria na Yosefu atakghafulllahhhii dogo punguza hasira basi khaaaaaa mbona unantisha utamtisha na mimisa ujue.
 
Last edited by a moderator:
we mimisa ndo unatoa nini hapo? au umekua nyoka uongee lugha hiyo? ssshshshsssssssssssshhhh
 
Last edited by a moderator:
manoah,
mtu mzima huwa sitishiwi nyau,
ntakupiga mpaka home kwenu wakusahau....nasema hivi mimisa ni wa kwangu!!
 
Last edited by a moderator:
I LOVE YOU mimisa

i_love_you_my_flower_0.jpg
 
Last edited by a moderator:
we unawazimu kweli
kakwambia nani huyo ni Ruttashobolwa?
tena usinitafute kabisa,rutta ni suti tu ndio vazi lake!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom