Taarifa kwa wana Chit Chat..

Taarifa kwa wana Chit Chat..

ni mapema mno kuthibitsha ilo esp kwa kusema ndio ama hapana..inabdi vi2 viende taratibu..kutathmini hali na tabia zetu..ila sth may come out of it watu8
Ni kweli unataka kufunga ndoa na huyu bwana(jina lake simjui maana kila mara linabadilika)?
 
Last edited by a moderator:
Duh! manoah una matatizo gan? Kila mara unabadilisha majina. Why? Pia unabadilisha mademu. Duh!
 
Last edited by a moderator:
cuzin @snowhite....njoon uku na familia yetu yote..nawahitaj ee
 
Shikamoni wakubwa zangu.
Habari zenu vijana wenzangu.
Natanga rasmi kua sina tena mahusiano na Suprise wala Rich woman


Kuanzia sasa nitakua na Nitakua na mimisa ambae siku si chache tutaingia kwenye mchakato wa ndoa ili tupate baraka zenu wana jamvi.

Copy:
Mwenyekiti; Baba V

Mwenyekiti msaidizi; watu8

Copy: @hiroaki akahoshi , noahism

Copy: watu8; kwa ajili ya kutambua mwandiko
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom