Taarifa kwa wana Chit Chat..

Taarifa kwa wana Chit Chat..

We will usijali before the end of the month mimi na wewe tena
Kwasababu umeadimika, sijui nitakuonaga lini tena nikushike hata mkono tu maana hua roho yangu inakosheka nikikuonaga ! aisee!
 
manoah toa maelezo yaliyoshiba apa

Mpenzi najua hujasahau time ile nilokukaribisha hapa ndani,mimi kiroho safi nakuachia huyu jamaa japo hajafuata taratibu,ila huyu jamaa ni mtamu sana mwanzoni hahahahaha
.....kwakuwa maji umeyavulia nguo basi huna budi kuyaoga nawaombea tu mfanikiwe...you will always be my friend mimisa
 
Last edited by a moderator:
my dia sijasahau kabisa Rich woman(nakupenda na kukuheshimu pia)..ila katkat ya maongez yetu ndipo jinalo lilitajwa..nikahitaji kauli yako pia,umefanya vyema kufika hapa...sijasahau fadhila..ww ni miongoni mwa watu walonifanya niwe apa hata leo..kuhusu manoah..time will tell...

Back
Top Bottom