Taarifa kwa wana Chit Chat..

Taarifa kwa wana Chit Chat..

Bado nakusihi mdogo wangu mpunguzie adhabu mwenzio banah afu kwa nini akuumize kichwa waakti mimisa wa watu kasema anakuluv tu wewe????????
huyu Mentor yani dah! Basi tu kaka.. Ila nikisema nampa hii azabu inakuaje kaka

412dcb09ebbb0.jpg
 
Nafanya lika niwezalo kuzuia hali isichafuke ingawa naona dogo hasikii wala haoni tuombe tu mimisa wangu hali isizidi kuchafuka maanake mmmhhhhh.
tusaidiane..sitaki damu imwagike hapa
 
Last edited by a moderator:
Kwasababu unanijari my brother na unapenda niwe na mafanikio, basi namuachia tu huyu Mentor akapumzike
Bado nakusihi mdogo wangu mpunguzie adhabu mwenzio banah afu kwa nini akuumize kichwa waakti mimisa wa watu kasema anakuluv tu wewe????????
 
Last edited by a moderator:
huyu Mentor yani dah! Basi tu kaka.. Ila nikisema nampa hii azabu inakuaje kaka

412dcb09ebbb0.jpg


Dogo, hiyo tulikuwa tunaiita KUBEBA DUNIA..sidhani kama kuna adhabu unayoweza kunipa ikanishinda..ni mazoezi kwangu!

we njoo na visu mi kiwembe tu...ntakuchanachana zaidi ya mganga aliekudanganya unaweza kumpata mimisa!
 
Last edited by a moderator:
sure thing..ila kwanza ebu tuweke mambo sawa na cuzin angu snowhite na Kaizer..ili twende sawa..dizaini kama wamenisusa vile..jaman kujeni huku bas...
ah ah! Umachemka vibaya vibaya, my love mimisa leo ni weekend twende zetu tuka relax
 
Last edited by a moderator:
Leo, weekend twende twende tuka relax kwanza mpenzi wangu tuondoe na stress za siku nzima
sure thing..ila kwanza ebu tuweke mambo sawa na cuzin angu snowhite na Kaizer..ili twende sawa..dizaini kama wamenisusa vile..jaman kujeni huku bas...
 
Last edited by a moderator:
I miss you sana amu ! najua majukumu yamekufanya unisahau kabisa, kwa hili siwezi kukulaumu maana najua ndio ukubwa wenyewe huo
manoah mpenzi nikupendae upo????nimekumiss sana umenitupa
 
Last edited by a moderator:
Umejuaje?????njaa mbaya mjini hapa we acha tu
I miss you sana amu ! najua majukumu yamekufanya unisahau kabisa, kwa hili siwezi kukulaumu maana najua ndio ukubwa wenyewe huo
 
Last edited by a moderator:
Kwasababu umeadimika, sijui nitakuonaga lini tena nikushike hata mkono tu maana hua roho yangu inakosheka nikikuonaga ! aisee!
Umejuaje?????njaa mbaya mjini hapa we acha tu
 
Back
Top Bottom