Kila anayeongea anataka umaarufu?? khaaa
kweli nyie misukule
Nchi hii ina wapiga porojo wengi kuliko watendaji so do not wonder!Watu wa hii nchi wana 'ample' time nyingi sana. Sijui ndiyo maana maendeleo ya nchi yanasuasua?
Sasa nimeamini, CHADEMA ni mpango wa Muumba/Mungu/Allah/Yehova kutukomboa Watanzania. Yaani mashetani yanajitokeza kadamnasi mchan kweupe. Fikiria ni nini kingetokea baadae kama yangeedelea kuficha usheitwani wao kwa kuvaa ngozi ya kondoo! Napanga kujiunga na CDM rasmi. Lakini kama wataliacha likiranja la mashetani kuendelea na uanachama, basi nitabakia raia mwema bila chama.
Sasa kila mtu anayetaka umaarufu anakimbilia kutoa tamko!
Eheee!! Niko Chadema miaka nenda rudi lakini ndio nakusikia leo. ebu tuondolee uchafu wako
Kwani nyakarungu ndio nani? ana nafasi gani cdm? mbona mi ndo kwanza namsikia leo!Mkuu, kwani huwezi kufanya uasi bila ya kutegemea mgongo wa Zitto na Mkumbo? Wao watuhumiwa wamesema watafuata taratibu za chama, wewe usiye mtuhumiwa unasema hukubaliani nao, kwa nini usiondoke kivyako hadi usikie Zito na Mkumbo wamesema kile unachotaka wewe? Ukiwa na msimamo unaouamini hauna haja ya kumfuata mtu fulani
Go, Nyakarungu, go!
Kwa hiyo unahangaika na kuing'oa CDM sio Magamba?
Au mnafanya hivyo ili magamba yapandishe umeme bei ili wananchi tupate kuumia eeh?
Kwanini msianzishe chama lenu ili mfuate mlengo mnaoutaka?
Si mmesema mko wengi sana mnaotaka mabadiliko? kigugumizi cha nini sasa?
Nyinyi mnataka mabadiliko ya CDM sio serikali inayotufanya kuwa na maisha magumu?
Aaah! mnafurahisha sana kama sio kuudhunisha sana!
Mimi nilizani mnataka kuiondoa kwanza magamba madarakani bwana, kumbe CDM?
Msitupigie kelele mitandaoni, anzisha chama chenu na mtwambie sela zenu labda tutawafikiria baadae.
Ameingia 2005,eti anasema ni kabda Dr Slaa hajajulikana,pambaf zake!
Shetani kaingia chadema hatoki peke yake ngoma inogile sasa kesho slaa lazima alipuke mbowe naye akirudi kutoka dubai kuuza mali zake naye lazima atoe tamko baadaye lema naye atatoa tamko lake safi lakini ndiyo demokrasia.
Mkuu ukieshimiwa na wewe jieshimu, Jukwaa letu linaharibiwa na wapuuzi wachache wenye ID tofauti alafu tusiseme ukweli?
Alafu sindano zipi hizo zinazouma wakati ni upotoshaji ndio unaoendelea humu na watu wenye akili zetu unataka tuufumbie macho?
Ila samahani sana kwa kukujibu maana ni aibu kujadili jambo na mtu anayejiita Msalani.
Ndugu Nyakarungu umetoa tamko kama yale matamko aliyokuwa akiyatoa Brigadier Okello baada ya mapinduzi kule Zanzibar!