Taarifa kwa vyombo vya habari kutoka CCM

Taarifa kwa vyombo vya habari kutoka CCM

Unajua asubuhi niliona kwenye wall ya Ben-Saanane, akasema tuko ahead of them. Akasema leo wataitisha Waandishi na kutoa salmu zao, cha ajabu aliyoyasema Ben ndo nayaona kwenye salamu za Ole Sendeka.

Kuna haja ya wanamikakati ndani ya chama chetu pendwa cha KIjani kubadili mtindo maana kama alivyosema Bhashe; wancheza ngoma ya CHADEMA.

Yetu macho siye...
 
Kweli ccm imeshakufa hii ndo taarifa.. Hahaaaa nilitegemea atwambie sheria hipi inakataza kuandamana....basi tukutane September 1
 
Huwa sisomagi wala kusikiliza toka kwa viilaza tena divisheni foo na wale wote ambao ni viilaza
 
Nimekuwa Ethopia ambako wanandege kufuru zinazokwenda mpaka Marekani na mashariki ya mbali, lakini ndege za mapanga boy ndizo zinatumika kwenye usafiri wa ndani, vivyo hivyo Canada. Iweje sisi tubeze.
 
Nm
Nimefurahi hapo kwenye mafanikio. Yapo mengi ambayo Rais wetu amefanya na anaendelea kufanya. Wananchi wanajua na CHADEMA wanajua

Vipi tena na
Nimefurahi hapo kwenye mafanikio. Yapo mengi ambayo Rais wetu amefanya na anaendelea kufanya. Wananchi wanajua na CHADEMA wanajua

Hii sehemu (paragraph) sijaipenda, Nchi ya viwanda inakuwa tena 2025??

Dk. Magufuli ameazimia kujenga uchumi wa viwanda. Ifikapo mwaka 2025, Tanzania itakuwa nchi yenye uchumi wa kati. Maisha ya wananchi wetu yataboreka. Vijana wetu wapate ajira katika viwanda, watauza malighali na mahitaji mbalimbali ya viwanda. Wakulima watapata masoko ya bidhaa zao katika viwanda hivyo. Kilimo kitaongezeka thamani kutokana na mahitaji mbalimbali ya viwanda vyetu. Hatua za kuelekea huko tayari zimechukuliwa.
 
Amesema hayo wakati akiongea na waandishi wa habari hapo Lumumba!

Amesema ni CCM ndiyo waliyopewa ridhaa na Watanzania kutawala kwa miaka mitano na hivyo kuikosoa CHADEMA kuandaa maandamo haramu!
 
Septemba mosi itakuwa shwari sana isipokuwa kwa wavunja sheria wachache sana
 
Kukandamiza demokrasia ni sawa na kunyonya damu za wananchi kama sio kumwaga damu.
 
Fuateni Katiba mliyoipia kwa Mungu wenu other ways ni utumbo mtupu..
 
Back
Top Bottom