Taarifa kwa vyombo vya habari kutoka CCM

Taarifa kwa vyombo vya habari kutoka CCM

Lizaboni kiukweli mi comments zako zimekaa kiu binafsi binafsi sana, utafikiri wewe ndo mtanzania pekee unae ona maendeleo wengine hatuyaoni. Umekaa kisiasa na kiushabiki sana hadi umepitiliza. Jaribu kumuona mungu utubu dhambi zako
 
Nimefurahi hapo kwenye mafanikio. Yapo mengi ambayo Rais wetu amefanya na anaendelea kufanya. Wananchi wanajua na CHADEMA wanajua
Hata wewe umepuga Pesa kupitia CCM mfano Pesa Mgao wa Lipumba kwa ajili ya kuchafua CUF na kudhoofisha Ukawa , Pesa za kupambana na UKUTA pia umepewa Mgao , wewe Mzee wa fursa licha ya kushinda na Lugumi huko Gamboshi kwenye kambi mkipangua mawe ili asahaulike umefaidika na Pesa za CCM .
 
Mbona hajazungumzia mafanikio ya bunge la katiba/rasimu ya warioba, bunge live na hili la kuzuia mikutano ya kisiasa?
 
Hivi mnapiga marufuku polisi jamii ,na mnasema polisi ni lazima waogopwe ,wakati huo huo mnaomba wananchi watoe ushirikiano ,mimi sijui hata nielewe nini tena hata kama ni Maombi kwa Mungu ni lazima uwe specific unataka kumwomba nini
 
Huyo sendeka kitambi bado kipo?

Maana watu wenye vitambi km ujauzito uwezo wao wa kufikiri hupungua sana
Ameshiba pesa aliyokwapua kwa kisingizio kuwa anazitumia kwenda kumchonganisha wana UKUTA wakose umoja , huko CCM kuna wajanja wengi tayari UKUTA umetumiwa vizuri na wajanja kupiga Pesa .
 
Mbona sijackia mweshmiwa rais lowassa akitajwa kandike vizuri writing error
 
Tanzania kuwa nchi ya uchumi wa kati ifikapo 2025? China leo ni nchi ya uchumi wa kati, mbiombio zao kufikia hapa zilianza miaka ya sabini wakati huo kiongozi wao akiwa Deng Xiaoping ambaye aliasisi mkakati wa kubadili uchumi toka wa jembe la mkono na kuwa wa soko huria.
Hii safari ya China ni ya miaka zaidi ya arobaini. Tunamtakia Magufuli kila la heri katika jitihada zake za kuruka viunzi na kuifyeka safari ya miaka arobaini hadi kuwa ya miaka kumi pasipo kuwekeza kwenye akili za watu wa taifa hili ambao ndiyo watakaolijenga.
 
Ole Sendeka si alipigwa chini, na Nape kurudishiwa nafasi!

Alionekana anapwaya kwenye usemaji, hata kwenye mkutano mkuu kule Dodoma hukusema lolote!
Ole sendeka kichwani mweupe anachojua ni kukariri chochote anachoambiwa aseme.
 
Siasa tu! Haya mafanikio yana uhusiano gani na tukio la mauaji Mbande ? Au mlisubili matukio ovu ndo mchanganye na zenu?
 
We CCM imezidi kukaa kwa watu na CHADEMA ikikaa kwenye mitandao. Haya tunasema kama waongo. Subiri mtaona matokeo yake.
Bendera ikipepea sana lazima ichanike! CCM kwisha habari yenu na ndo maana hata salamu ya chama haina nguvu kabisa.
 
Reli ya standard gauge kwenda Rwanda na Burundi yenye watu wasiofika milioni tatu unaacha kushughulikia DRC Zambia, Malawi, Zimbabwe ambapo huo ukanda unawatu zaidi milioni sabini? Bado mnasema majenga uchumi.
Ndege za mapanga boy ambazo muda wake wake kiteknolojia umepitwa na wakati. Mahali jet inakwenda kwa dakika ishirini nyie mtakwenda kwa saa moja.
Bunge kufuata utaratibu, yaani taratibu zivunjwe makusudi ili mkalalamikiwe? Nonsense.
Kajipangeni tena hapo hakina speech hapo.
Mlipo onhea ni hapo husikitika vifo vya kinyama vya maaskari wetu. Walaaniwe walio fanya huu unyama.
Amesahau Chattto airpot!
 
Huu ujumbe ni wa kiuchwara na kiundumi la kuwili! Tena usiokuwa na maana yoyote, kwasababu kuna wananchi zaidi ya 50 waliuawa kule ziwa Tanganyika na muandishi anaonekana kujipendekeza kwa jeshi la polisi.
Kwanini hajasikitishwa na hao wengi asikitishwe na wanne?
Nimemdharau sana
 
Nkiona mtu anatoa hoja za kusifia tu kitu au mtu bila kutaja na changamoto na kasoro zake hunipa wasiwasi na mashaka zaidi kuhusu hicho anachokitetea
 
Back
Top Bottom