HIVI OLESENDEKA ANATAKA DAMU ZA WATANZANIA ZIMWAGIKE MARA NGAPI?
-Watanzania damu zetu zilishamwagika sasa hivi tuna maumivu makali sana na ili tupone lzm CCM itoke madarakani iwe kwa shari au kwa amani lkn ccm itatoka tu.
-CCM imeshamwaga damu za watanzania kwa matukio mengi ya kikatili na ya hovyo hovyo, hata sasa udikteta unamwaga damu zetu kwa unyanyasaji ulipewa jina la UCHOCHEZI.
Ufisadi,mauji ya tembo,kutorosha twiga= UMWAGAJI WA DAMU ZA WATANZANIA.
-Unyonyaji wa rasilimali za nchi,unyanyasaji unaofanywa na vyombo vya dola,umwinywaji wa haki za kiraia, matumizi mabaya ya madaraka, ubaguzi wa vyama, jumlisha ukabila na ukanda unaojengwa na CCM ni zaidi ya kumwagika damu za watanzania.
-Olesendeka alisoma sheria wapi hadi ajue kutafsiri katiba na sheria za nchi, anahisi hatuna elimu yake ilivyo HEWA huku mtaani?. Awadanganye wana CCM waliokalia NDIYO kwa kila kitu. Tuko 2016 4G hatudanganyiki na maigizo hayo ya CCM.
-Kusema kwamba CHADEMA wanataka kuchafua jina la TZ kimataifa, kwani yeye anataka watufanyie hujuma humu humu halafu tufiche tu kama wanavyoficha uhalifu wa CCM?
-Wao ndio wanafanya uchochezi kwa kupitia redio UHURU, Gazeti la UHURU,TAZAMA,MKAKATI nk mbona hatusemi...yani unakuta magazeti yote yameandika mauji ya polisi lkn uhuru inaandika MAALIM SEIF na CUF....UCHOCHEZI MTUPU,,GAZETI MWANZO MWISHO NI UCHOCHEZI,,REDIO UHURU UCHOCHEZI MTUPU NA NDIO MAANA WANAONUNUA AU KUSIKILIZA RADIO HIZO ZA AJABU NAO NI WALE WALE....
-Hayo maigizo yao wanayofanya kwa kuwatumiaUVCCM mara WASANII CCM,,,mara Cheyo na mrema ccm,,,wanawake CCM,,, wapeleke huko, hao tushawajua ni wenye njaa tupu na ni maajenti wa CCM wote na wako kwenye kundi la Umoja wa Kumpongeza Magufuli
-Hata bila UKUTA Kila nafsi itaonja mauti tu,,,,,Ukifa ukiwa CCM ni dhambi kubwa isiyosameheka maana utakufa ukiwa mnafiki,mwongo,mwendawazimu na msaliti