Ng'wanadotto
Member
- Feb 9, 2014
- 76
- 20
mbona hatuambii vifungu vya she ria kwenye katiba ambavyo chadema wanavivunja na vile vinavyomlinda raid aonekane yuko sahihi kuzuia siasa mpk 2020
Mpiga domo wa ccm kawa msemaji wa serikali
Mafanikio na maendeleo haya hisabiwi kwa vidole!Maana yake ndio hakuna mafanikio au ni "neglible" Ni sawa na kuhesabu kwa kukumbuka siku uliowahi kumnunulia nguo mkeo mlioishi nae zaidi ya miaka 20!Nimefurahi hapo kwenye mafanikio. Yapo mengi ambayo Rais wetu amefanya na anaendelea kufanya. Wananchi wanajua na CHADEMA wanajua
uko sahihi!Taarifa imeshidwa kuhainisha sharia inayokata shughuli za vyama vya siasa, mikutano na maandamano na hakueleza wapi vyama vinapokosea vinapotaka kutekeleza shughuli za kisiasa.
Kwisha habari ya wanachadema. Jana tume jadili hapa ibara ya 30(1)
a)maslahi ya umma ndio nini?Rejea katiba ya nchi ibara ya 30.
30.-(1) Haki na uhuru wa binadamu ambavyo misingi yake
imeorodheshwa katika Katiba hii havitatumiwa na mtu mmoja
kwa maana ambayo itasababisha kuingiliwa kati au kukatizwa
kwa haki na uhuru wa watu wengine au maslahi ya umma.
Sasa hizi ni pole ni salamu ama ni taarifa ya mafanikio?Nimefurahi hapo kwenye mafanikio. Yapo mengi ambayo Rais wetu amefanya na anaendelea kufanya. Wananchi wanajua na CHADEMA wanajua
perfect timing,asante mkuu!ahahaha!
kimtokacho mv mdomoni,ndicho kimkaacho moyoni,sie magambaz hawapo mioyoni mwetu!Hivi kwenye press ya cdm jana kuna sehemu walitaja ccm!? Naona hii imejaa 'wapinzani' na 'chadema' au ndio ngoma ilishapigwa wanacheza!?
ahahaha,ila ameuta katika maelezo yake japo indirectly!Naona wameambiazana wasitamke neno UKUTA kwenye huo mkutano maana limeshakuwa kuliko matarajio yao.
Wanaogopa makosa ya mkutano mkuu Dodoma ya kutaja jina la Lowasa mara nyingi kuliko hata mwenyekiti mstaafu au mpya lisijirudieNaona wameambiazana wasitamke neno UKUTA kwenye huo mkutano maana limeshakuwa kuliko matarajio yao.