Taarifa kwa vyombo vya habari kutoka CCM

Taarifa kwa vyombo vya habari kutoka CCM

Yapo mengi amefanya magufuli kama yapi hzo ndege hatuja ziona wala meli haipo ni adisi tu viwanda ndio kabasa hata msingi wa hcho kiwanda hakuna hata kimoja na maisha mbona yamekua magumu unafuu upo wapi sasa kwa mwananchi mbona kila kitu ni hela mbona hyo keki ya taifa na sisi hatuifaidi hivi wewe sendika hujui kama maisha yamekua mgumu kuliko awamu iliopita
 
Tamko la hovyo hovyo lililotoka kwa mtu wa hovyo hovyo
Tamko la hovyo kama hili lina worth gani la kuwaita waandishi wa habari?
Tanzania kama tumerogwa walahi
Unapoteza muda kuwaita waandishi wa habari kutoa tamko jepesi kama hili
Upuuzi kabisa!!
 
Yapo mengi amefanya magufuli kama yapi hzo ndege hatuja ziona wala meli haipo ni adisi tu viwanda ndio kabasa hata msingi wa hcho kiwanda hakuna hata kimoja na maisha mbona yamekua magumu unafuu upo wapi sasa kwa mwananchi mbona kila kitu ni hela mbona hyo keki ya taifa na sisi hatuifaidi hivi wewe sendika hujui kama maisha yamekua mgumu kuliko awamu iliopita
Nnachojua Mimi ameanza Kuvizia pesa zetu NSSF ili ajenge mabanda ya Mashine za Majinsi na Vijiti,to be Honest hyu mdingi ni Kero mpya baada ya kuibiwa gas na Madini sasa wanarudi pesa zetu za NSSF NA PSPF LPF,This is Mad story in town,aliahidi Maisha ya Viwanda na FURSA But,tunachokiona ni ubnafsi wa Ditu na kadharika,please hatujazoea vitisho.
 
...... leo nimeamini maneno ya professor Muhongo kuhusu huyu K....... ZA....
 
Chadema watakuja kubeza hapa , lkn wao wakiulizwa ahadi waliyotimiza hata moja hakuna!!

Vichwa vyao vinawaambia eti watanzania wanahitaji maandamano badala ya maendeleo.

Jenga UKUTA wewe bibie, acha kulalama hapa!!
 
Taarifa nzuri, ila wakati watu wakiwa kwenye mchakato wakutafuta suruhu kurudi bungeni sio vema kuwakebehi na kuwadharau. Pamoja na tofauti za vyama yapo mambo lazima tusimame kama taifa.
Kutokuheshimiana ndo kinachosumbua
 
Ayo ni maendeleo ya serikali aya twambie maendeleo ya chama, inamaana miezi 9 mpaka sasa hamna cha kujivunia kama chama.Serikali si yenu peke yenu bali ni ya watz wote wakiwemo chadema na wengineo.Nasemaivo kwa sababu serikali inaendeshwa na kodi za watz bila kujali huyu ni wa ccm au cdm au cuf.Halafu kwann wewe uisemee serikali ? Serikali haina msemaji wake?
 
Chadema watakuja kubeza hapa , lkn wao wakiulizwa ahadi waliyotimiza hata moja hakuna!!

Vichwa vyao vinawaambia eti watanzania wanahitaji maandamano badala ya maendeleo.
Chadema wameshika nchi? Unataka watimize ahadi zao kutoka mifukoni kwao? Wajibu wa maendeleo ni Chama tawala
 
Back
Top Bottom