Rugaiyulula
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 2,524
- 1,706
Taarifa imeshidwa kuhainisha sharia inayokata shughuli za vyama vya siasa, mikutano na maandamano na hakueleza wapi vyama vinapokosea vinapotaka kutekeleza shughuli za kisiasa.
Rejea katiba ya nchi ibara ya 30.Taarifa imeshidwa kuhainisha sharia inayokata shughuli za vyama vya siasa, mikutano na maandamano na hakueleza wapi vyama vinapokosea vinapotaka kutekeleza shughuli za kisiasa.
Waliotoa Div 0 A level sina deni nao tena!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Kuna faida ipi kuwa na kitu kisichokuwa na manufaa kwako! Nakumbuka nikiwa mtoto kuna mzee mmoja alisema msemo mmoja ambao hadi leo naukumbuka .. alisema hivi (kwa kilugha) .. "Olwokunyegel'omubi Oleyamba, Kumunywegela okagenda nochwa kiki?"Ccm ikiisha mna mbadala,? Au mnasubiri ccm wafukuze mwingine ndo mpate pa kutokea!
Rejea katiba ya nchi ibara ya 30.
30.-(1) Haki na uhuru wa binadamu ambavyo misingi yake
imeorodheshwa katika Katiba hii havitatumiwa na mtu mmoja
kwa maana ambayo itasababisha kuingiliwa kati au kukatizwa
kwa haki na uhuru wa watu wengine au maslahi ya umma.
kwikwikwikwi huna hoja umeishiwa.Div 0 nahisi inakuhusu.
Haki ya uhuru wa watu kukutana bila fujo haihusiki na hiyi section.
Amekwambia ukweli , acha kucheka cheka hovyo...kwikwikwikwi huna hoja umeishiwa.
Kama msemaje wa Chama ambacho serikali inatekeleza ilani yakeSasa huyu anaongea kama ccm ama kama serikali? Yeye ni nani katika srikali hata aisemee?
Hahahahaha kweli ukipenda hata chongo utaona kengeza,nisiseme sana maana......Nimefurahi hapo kwenye mafanikio. Yapo mengi ambayo Rais wetu amefanya na anaendelea kufanya. Wananchi wanajua na CHADEMA wanajua
Mnaona wivu , miezi 9 tu ndege 3 uliona wapi rais wa aina hiyo? JPM jembe wewe.Ujinga tu, ndege za mapanga boy
Mbona hivo!!! Kwani CHADEMA sio wananchi???Nimefurahi hapo kwenye mafanikio. Yapo mengi ambayo Rais wetu amefanya na anaendelea kufanya. Wananchi wanajua na CHADEMA wanajua
Tukisoma katiba tusikariri maana inalinda pande zote inatoa uhuru wa jambo Fulani na kiliwekea masharti ili lisitumiwe vibaya.kwikwikwikwi huna hoja umeishiwa.
Mbona bado sijaielewa au ni mwendo kasi [emoji28][emoji28]Nimefurahi hapo kwenye mafanikio. Yapo mengi ambayo Rais wetu amefanya na anaendelea kufanya. Wananchi wanajua na CHADEMA wanajua
Mpiga domo wa ccm kawa msemaji wa serikaliSasa huyu anaongea kama ccm ama kama serikali? Yeye ni nani katika srikali hata aisemee?