Taarifa kwa Umma-Tamko la J.Nassari kuhusu Tamko la NMC

*TAARIFA KWA UMMA*

Ninalazimika kutoa tarifa hii ili kutolea ufafanuzi mambo kadhaa hususani... hotuba yangu niliyoitoa kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye viwanja vya NMC Arusha siku ya jumamosi Tarehe 5, Mei 2012 ambapo tuliwapokea na kuwakabidhi kadi maelfu ya wanachama wapya waliojiunga CHADEMA kutokea vyama mbalimbali vya siasa hususani chama tawala CCM.

Kumetokea sintofahamu kubwa kuhusu sehemu ya hotuba yangu niliyoitoa. Ningependa ifahamike kwamba kama mwanasiasa kijana na kama mwanchama wa CHADEMA, Chama ambacho siku zote kimekuwa mstari wa mbele kuunganisha umma wa Watanzania wote katika kudai haki, umoja, amani na maendeleo ya kweli bila kujali ukanda, udini, wala historia. Ninapenda ifahamike kwamba sina nia malengo wala dhamira ya kuwagawa Watanzania kwa namna yoyote ile, kama ambavyo imekuwa ikitafsiriwa.

Hata hivyo, Mwenyekiti wangu wa Taifa alitoa ufafanuzi siku ileile kuhusu badhi ya mambo ambayo yangeweza kulete utata, napenda ifahamike kwamba alichokisema Mwenyekiti ndio msimamo wangu japokuwa baadhi ya watu wenye nia mbaya wamekuwa wakijaribu kupotosha kwa kutoa tafsiri ambayo si sahihi ili kunichafua mimi na chama changu. Ili kuweka kumbukumbu sawasawa nililieleza jeshi la polisi tafsiri ya hotuba yangu nilipofanyiwa mahojiano. Lengo la hotuba yangu lilikuwa kuweka msisitizo ili serikali na jeshi la polisi lishughulikie matatizo makubwa ya muda mrefu mbayo hayajatafutiwa ufumbuzi mpaka kupelekea baadhi ya watu kupoteza maisha, na sio kuchochea vurugu au kumzuia Rais kutekeleza wajibu wake

Joshua Nassari (MB)
Mei 09, 2012.

Josh....this is verry right, congrats.....clarity is what differentiates the matured from the rest always avoid controversy and such troubles will never be part of your political life
 
Kweli mkuu anajificha nyuma ya Mbowe utafikiri ndio anamfikiria cha kuongea na jinsi ya kumsahihisha.
Hata hivyo nampongeza kwa kutambua ukweli kuwa AMEWAKOSEA WATANZANIA na siyo CCM kwa matamshi yake.
Kuelewa vile tu ni toba tosha kabisa.

Avatar zingine bana dah! mpaka mtu anapata ashki ya ajabu!
avatar47580_1.gif
 
mshauri huyu kijana mwenzetu tena sociologist asiwe mwoga kusema samahani kwa wote mlioudhika na mtamshi yangu. Halafu anaweza pia kufungua akaunti nyingine na kutangaza waziwazi kuwa ndiye yeye ili baadhi ya mambo awe anayatolea ufafanuzi kupitia linki hii

Well said mkuu,
Na kwa nn Mh asifunguke kwani kuna nn ambacho atapoteza?
 
Wawepo vijana kama ishirini hivi wawe mawaziri mtaone Tanzania itakavyobadilika...tunapelekeshwa na hawa wazee kazi kulala tuu bungeni...bravo Nasari nakukubali kweli...kwa kweli ni kijana jasiri anayejali maisha ya watanzania...

Kwenye baraza lililopita walikuwepo na la sasa wapo. hawatafanya kitu zaidi ya kuchumia tumbo
 
*TAARIFA KWA UMMA*

Ninalazimika kutoa tarifa hii ili kutolea ufafanuzi mambo kadhaa hususani... hotuba yangu niliyoitoa kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye viwanja vya NMC Arusha siku ya jumamosi Tarehe 5, Mei 2012 ambapo tuliwapokea na kuwakabidhi kadi maelfu ya wanachama wapya waliojiunga CHADEMA kutokea vyama mbalimbali vya siasa hususani chama tawal
Kumetokea sintofahamu kubwa kuhusu sehemu ya hotuba yangu niliyoitoa. Ningependa ifahamike kwamba kama mwanasiasa kijana na kama mwanchama wa CHADEMA, Chama ambacho siku zote kimekuwa mstari wa mbele kuunganisha umma wa Watanzania wote katika kudai haki, umoja, amani na maendeleo ya kweli bila kujali ukanda, udini, wala historia. Ninapenda ifahamike kwamba sina nia malengo wala dhamira ya kuwagawa Watanzania kwa namna yoyote ile, kama ambavyo imekuwa ikitafsiriwa.

Hata hivyo, Mwenyekiti wangu wa Taifa alitoa ufafanuzi siku ileile kuhusu badhi ya mambo ambayo yangeweza kulete utata, napenda ifahamike kwamba alichokisema Mwenyekiti ndio msimamo wangu japokuwa baadhi ya watu wenye nia mbaya wamekuwa wakijaribu kupotosha kwa kutoa tafsiri ambayo si sahihi ili kunichafua mimi na chama changu. Ili kuweka kumbukumbu sawasawa nililieleza jeshi la polisi tafsiri ya hotuba yangu nilipofanyiwa mahojiano. Lengo la hotuba yangu lilikuwa kuweka msisitizo ili serikali na jeshi la polisi lishughulikie matatizo makubwa ya muda mrefu mbayo hayajatafutiwa ufumbuzi mpaka kupelekea baadhi ya watu kupoteza maisha, na sio kuchochea vurugu au kumzuia Rais kutekeleza wajibu wake

Joshua Nassari (MB)
Mei 09, 2012.
hongera kamanda nassari,kwa wapambanaji kama wewe hyo its just an obstacle,kuna mwanafalsafa mmoja iliwahi kusema hivi,if your travelling in a certain course without meeting an abstacle,you are in a wrong way.
 
Big up Nassary koz hapo umeyamaliza magamba kabisa.., no body can stop VUA GAMBA VAA GWANDA.
Kazi kwenda mbele mpaka kieleweke.. Peoples........

Shardcole@Tabora1
 
Success is roaming around the horizon, Wakosoaji are waiting for something which they secretly believe that it will not happen. Huu ni ujinga wa kuzaliwa kabisa
 
Kadri watu mbalimbali akiwamo Nape mnauye wanavyoongelea matamshi ya Mh. Nassari nimekuwa nafarijika sana.
Kwa nini nifarijike? Kwangu mimi maneno aliyoyasema Kijana Nassari nayaona sio mazito ki hivyo kiasi cha kuwafanya watu wengi waendelee kuzungumza hapa JF. Lakini kwa nini watu wanazungumza? Ni kwa sababu hawamwangalii Nassari bali wanaangalia CHADEMA kama Chama. Chama hiki kwa hakika kimeingia mioyoni wa watanzania (wakiwemo CCM), ndio maana chochote kitakacho ongelewa kukihusisha chama hiki lazima kiwe a 'talk of a Nation'.
Lakini kwa kweli ni kinyume chake kabisa when it comes to CCM, CUF and other parties- hawa hata wakitukana majukwaani watanzania watawaapuuza tu (kama ilivyotokea kwa Lusinde). Ndio maana sikushangaa viongozi wa CDM hawakupoteza nguvu zao kum discuss Lusinde.
Kwa hili nasema hongera CDM kwa kuwafikisha watanzania hapa
 
hajaomba radhi kwa wale waliomuelewa vibaya, arudi atubu

kwani Nassari anahusika nini kwenye uwezo wa mtu kuelewa? Kama kuna walioelewa vibaya watubu wao! Afu mnakazania atubu atubu, wewe hasa atubu kwako kama nani? Wewe mwenyewe midhambi kibao unang'ang'ania za Nassari tu! Nenda kamtubishe Maige aliyekula tembo na twiga wetu Serengeti.
 
*TAARIFA KWA UMMA*

Ninalazimika kutoa tarifa hii ili kutolea ufafanuzi mambo kadhaa hususani... hotuba yangu niliyoitoa kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye viwanja vya NMC Arusha siku ya jumamosi Tarehe 5, Mei 2012 ambapo tuliwapokea na kuwakabidhi kadi maelfu ya wanachama wapya waliojiunga CHADEMA kutokea vyama mbalimbali vya siasa hususani chama tawala CCM.

Kumetokea sintofahamu kubwa kuhusu sehemu ya hotuba yangu niliyoitoa. Ningependa ifahamike kwamba kama mwanasiasa kijana na kama mwanchama wa CHADEMA, Chama ambacho siku zote kimekuwa mstari wa mbele kuunganisha umma wa Watanzania wote katika kudai haki, umoja, amani na maendeleo ya kweli bila kujali ukanda, udini, wala historia. Ninapenda ifahamike kwamba sina nia malengo wala dhamira ya kuwagawa Watanzania kwa namna yoyote ile, kama ambavyo imekuwa ikitafsiriwa.

Hata hivyo, Mwenyekiti wangu wa Taifa alitoa ufafanuzi siku ileile kuhusu badhi ya mambo ambayo yangeweza kulete utata, napenda ifahamike kwamba alichokisema Mwenyekiti ndio msimamo wangu japokuwa baadhi ya watu wenye nia mbaya wamekuwa wakijaribu kupotosha kwa kutoa tafsiri ambayo si sahihi ili kunichafua mimi na chama changu. Ili kuweka kumbukumbu sawasawa nililieleza jeshi la polisi tafsiri ya hotuba yangu nilipofanyiwa mahojiano. Lengo la hotuba yangu lilikuwa kuweka msisitizo ili serikali na jeshi la polisi lishughulikie matatizo makubwa ya muda mrefu mbayo hayajatafutiwa ufumbuzi mpaka kupelekea baadhi ya watu kupoteza maisha, na sio kuchochea vurugu au kumzuia Rais kutekeleza wajibu wake

Joshua Nassari (MB)
Mei 09, 2012.

Mheshimiwa Nassari,
Kwa muungwana akikosea husema straight kwamba amekosea na kuomba msamaha.

Lakini wanasiasa kanjanja wanapokamatwa with their pants down, hujaribu kuleta maneno marefu kama njia ya kuomba msamaha kwa sababu tu wamekamatwa. Kama ulichosema ni makosa kuwa straight na watanzania na sio hii ya kwamba fikra za mwenyekiti ndio za kwako pia. Watanzania wanajua ulisema nini tena kwa hiari yako mwenyewe.
 
Big up Nassary koz hapo umeyamaliza magamba kabisa.., no body can stop VUA GAMBA VAA GWANDA.
Kazi kwenda mbele mpaka kieleweke.. Peoples........

Shardcole@Tabora1

Join Date : 15th January 2012
Posts : 861
Rep Power : 325
Likes Received 188
Likes Given 0

Shardcole punguza uchoyo kamanda wangu, Likes given 0
 
Nataka kesho gazeti Mwananchi watoe hili tamko kama walivyotenga kurasa maalum jana kumshambulia Nassari
 
Kadri watu mbalimbali akiwamo Nape mnauye wanavyoongelea matamshi ya Mh. Nassari nimekuwa nafarijika sana.
Kwa nini nifarijike? Kwangu mimi maneno aliyoyasema Kijana Nassari nayaona sio mazito ki hivyo kiasi cha kuwafanya watu wengi waendelee kuzungumza hapa JF. Lakini kwa nini watu wanazungumza? Ni kwa sababu hawamwangalii Nassari bali wanaangalia CHADEMA kama Chama. Chama hiki kwa hakika kimeingia mioyoni wa watanzania (wakiwemo CCM), ndio maana chochote kitakacho ongelewa kukihusisha chama hiki lazima kiwe a 'talk of a Nation'.
Lakini kwa kweli ni kinyume chake kabisa when it comes to CCM, CUF and other parties- hawa hata wakitukana majukwaani watanzania watawaapuuza tu (kama ilivyotokea kwa Lusinde). Ndio maana sikushangaa viongozi wa CDM hawakupoteza nguvu zao kum discuss Lusinde.
Kwa hili nasema hongera CDM kwa kuwafikisha watanzania hapa

Pokea Like yangu mkuu
 
2late Mr Nasari subiri mkono wa sheria ukuvue ubunge kwanza ndo uanze kulialia
 
Wee kuwadi wa Magamba, huo Mkono wa sheria hukumuona Lusinde? Au yeye atapitiwa na masaburi ya sheria na sio mkono wa sheria? Pambaf!!!!!!
 
Nassari siyo kichaa. Hayo aliyoyasema ndiyo aliyokuwa anafikiria. Hata mlevi ukiona ametamka neno ujuwe kuwa ni kitu ambacho kilikuwa moyoni mwake alikuwa anshindwa tu kukitoa hadharani.

Binafsi nadhani Chadema wana fursa kubwa ya kupambana na CCM na ikiwezekana kuchukua nchi lakini kauli kama za akina Nassari zinafanya Watanzania wafikiri tena. Watanzania siyo wajinga hata kidogo. Jana nimesoma kwenye Posting mmoja hapa JF mwandishi akiwaomba kuwa muache kupiga nyimbo za dini kwenye mikutano yenu. Hili nalo ni muhimu. Tungeni nyimbo zenu kama CCM walivyofanya.

Chadema pamoja na matatizo mengi wanayoyapata kutoka Polisi na chama tawala ni lazima kabisa wajifunze kuwa wanasiasa makini. Neno au tendo moja tu linaweza kuvuruga mambo.

Hivi tujiulize kauli za kibaguzi zilitolewa na zinazotolewa na CCM pamoja na matendo ya kibaguzi ya CCM hasa dhidi ya wapinzani mbona hamuyakomalii?

Hakuna wanasiasa wapuuzi kama wa chama tawala maana wao wamepora na wana haki ya kuropoka cho chote bila kuhojiwa. Halafu ebu toeni chembe za athari za ile hotuba ya kisiasa jukwaani.

Na baada ya kauli na ufafanuzi alioutoa kijana kuna haja gani yakuendeleza beef kama siyo kumpania kwa sababu ya kuwagagaza CCM kwenye uchaguzi.

MWISHO KAMA SERIKALI LEGELEGE HAICHUKUI HATUA NA MAUAJI YANAYOTOKEA NA MASHAMBULIZI KAMA YA MWANZA, BASI SIYO KUJITENGA BALI KULIPIZANA VISASI KUTAANZA HADHARANI
 
Back
Top Bottom