Taarifa kwa Umma-Tamko la J.Nassari kuhusu Tamko la NMC

Yeah! Well...this is very well said brother. Tunajua Watanzania wote wa Leguruki, King'ori, Seela-Sing'isi, Kisimiri Juu na Chini, Nkoarua, Nkoaranga, Usa River, Poli, Akheri, Nkoarisambu, Kikatiti, Ngarenanyuki, Maji ya Chai, Mbuguni, Makiba, Kikwe, Songoro watakuwa bega kwa bega kuunga mkono tamko hili ambalo linadhihirisha wazi msimamo wa CHADEMA katika kuendelea kuunganisha nguvu za Watanzania wote kupigania haki na kuendesha siasa za vuguvugu la kudai uhuru na mabadiliko ya kweli, kimfumo na kiutawala.

Huo ndiyo msimamo wa CHADEMA ambao unazidi kuwanyong'onyesha CCM na kuwamaliza kabisa. Falsafa ya nguvu ya umma iko matendoni kama ulivyokuwa ujamaa wa... Kila mtu atashirikishwa. Kila mtu atachangia. Kwa hali na mali. Kila Mtanzania atakuwa sehemu ya mapambano haya na vuguvugu la mabadiliko.

Kila Mtanzania, kutoka kila kona na pembe ya nchi, ambaye anakerwa kwa dhati na dhuluma, unyanyasaji unaofanywa na watawala dhidi ya wanyonge katika nchi hii, ataunganishwa katika mwamvuli mkubwa wa M4C, kuipigania Tanzania na kuwapigania Watanzania, bila kujali chochote, we have common problem...common enemy.

Well said mkuu. Watanzania wanaounga mkono M4C wameelewa. Tunazidi kusonga mbele. Tumeshafika pale ambapo shoka linaelekea kuvunjika unabaki mpini...approaching the critical stage of the struggle.

pozu la pumba lakutoka kinywani na puan
unashindwa kutambua sana nguvu ya umma ni propaganda,na pale wataposhika hatamu uuma na viongoz vinakua vitu viwil tofaut
umma unabaki na matakwa yao bado watayotaka yatekelezwe na viongoz watakua na changamoto ya sera zao wanazopigania kutekeleza kwa protocal maalum,bila kusahau interest za mabwana zao world bank ni imf,bila kusahau eurpean community na superpower america
acha ukenge kufuata msafara wa mamba..!
Wanasiasa wanakugeuza kadir wapendavyo na ww unageuka kufuata upepo wao..!
Amka mdanganyika dai katiba yako huru sasa..!
 
Mawaziri kama hawa wanafaa sana.......! Hongera dogo, unawakilisha majembe ya ukweli....nadhani upate uteuzi wa uwaziri kabisa....NAKUPONGEZA KWA. KUONYESHA TRUE COLOURS ya viongozi tunaowachagua.....
"Leo wanasema hili kesho wanang'aka kuwa hatukuwa
elewa vizuri"
 
*TAARIFA KWA UMMA*

Ninalazimika kutoa tarifa hii ili kutolea ufafanuzi mambo kadhaa hususani... hotuba yangu niliyoitoa kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye viwanja vya NMC Arusha siku ya jumamosi Tarehe 5, Mei 2012 ambapo tuliwapokea na kuwakabidhi kadi maelfu ya wanachama wapya waliojiunga CHADEMA kutokea vyama mbalimbali vya siasa hususani chama tawala CCM.

Kumetokea sintofahamu kubwa kuhusu sehemu ya hotuba yangu niliyoitoa. Ningependa ifahamike kwamba kama mwanasiasa kijana na kama mwanchama wa CHADEMA, Chama ambacho siku zote kimekuwa mstari wa mbele kuunganisha umma wa Watanzania wote katika kudai haki, umoja, amani na maendeleo ya kweli bila kujali ukanda, udini, wala historia. Ninapenda ifahamike kwamba sina nia malengo wala dhamira ya kuwagawa Watanzania kwa namna yoyote ile, kama ambavyo imekuwa ikitafsiriwa.

Hata hivyo, Mwenyekiti wangu wa Taifa alitoa ufafanuzi siku ileile kuhusu badhi ya mambo ambayo yangeweza kulete utata, napenda ifahamike kwamba alichokisema Mwenyekiti ndio msimamo wangu japokuwa baadhi ya watu wenye nia mbaya wamekuwa wakijaribu kupotosha kwa kutoa tafsiri ambayo si sahihi ili kunichafua mimi na chama changu. Ili kuweka kumbukumbu sawasawa nililieleza jeshi la polisi tafsiri ya hotuba yangu nilipofanyiwa mahojiano. Lengo la hotuba yangu lilikuwa kuweka msisitizo ili serikali na jeshi la polisi lishughulikie matatizo makubwa ya muda mrefu mbayo hayajatafutiwa ufumbuzi mpaka kupelekea baadhi ya watu kupoteza maisha, na sio kuchochea vurugu au kumzuia Rais kutekeleza wajibu wake

Joshua Nassari (MB)
Mei 09, 2012.

nafurahi kwa ufafanuzi wako! lakini ndugu yangu naomba nikufahamishe sifa kubwa ya wanasiasa ni uvumilivu kwani kinyume chake ndiyo mwanzo wa machafuko na sintofahamu, kwa umri wako hukupaswa kutoa ama kusema hayo, kwani ndiyo kwanza umeingia madarakani hivyo unapaswa kama kijana tena msomi, kutambua maandamano na kuchukua sheria mkononi ni hatua yamwisho kabisa, na mara kadhaa tumekuwa tukisema matusi na kauli za uchochezi ni kwa watu wanyonge, kitu ambacho cdm sivyo. na wananchi hao waliozulumiwa ardhi yao wamekuchagua wewe km sehemu yao kuwaongoza ktk kufikia suluhisho la matatizo yao km ulivyowaahidi, inapojitokeza wanaleta kwa matatizo yao na wewe unwaeleza matatizo yako huwezi kufika, kwani ni sawa inapotokea mkeo analia na wewe unalia hakutakuwa na wakumnyamazisha mwingine. pia kumbuka hata kama leo hii wewe hukusoma lakini kwa kuwa mbunge watu wanachukulia kila kauli yako kwa umakini mkubwa. plse hakuna sababu ya kuleta hoja nyingine ni busara kuapologise!
 
*TAARIFA KWA UMMA*

Ninalazimika kutoa tarifa hii ili kutolea ufafanuzi mambo kadhaa hususani... hotuba yangu niliyoitoa kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye viwanja vya NMC Arusha siku ya jumamosi Tarehe 5, Mei 2012 ambapo tuliwapokea na kuwakabidhi kadi maelfu ya wanachama wapya waliojiunga CHADEMA kutokea vyama mbalimbali vya siasa hususani chama tawala CCM.

Kumetokea sintofahamu kubwa kuhusu sehemu ya hotuba yangu niliyoitoa. Ningependa ifahamike kwamba kama mwanasiasa kijana na kama mwanchama wa CHADEMA, Chama ambacho siku zote kimekuwa mstari wa mbele kuunganisha umma wa Watanzania wote katika kudai haki, umoja, amani na maendeleo ya kweli bila kujali ukanda, udini, wala historia. Ninapenda ifahamike kwamba sina nia malengo wala dhamira ya kuwagawa Watanzania kwa namna yoyote ile, kama ambavyo imekuwa ikitafsiriwa.

Hata hivyo, Mwenyekiti wangu wa Taifa alitoa ufafanuzi siku ileile kuhusu badhi ya mambo ambayo yangeweza kulete utata, napenda ifahamike kwamba alichokisema Mwenyekiti ndio msimamo wangu japokuwa baadhi ya watu wenye nia mbaya wamekuwa wakijaribu kupotosha kwa kutoa tafsiri ambayo si sahihi ili kunichafua mimi na chama changu. Ili kuweka kumbukumbu sawasawa nililieleza jeshi la polisi tafsiri ya hotuba yangu nilipofanyiwa mahojiano. Lengo la hotuba yangu lilikuwa kuweka msisitizo ili serikali na jeshi la polisi lishughulikie matatizo makubwa ya muda mrefu mbayo hayajatafutiwa ufumbuzi mpaka kupelekea baadhi ya watu kupoteza maisha, na sio kuchochea vurugu au kumzuia Rais kutekeleza wajibu wake

Joshua Nassari (MB)
Mei 09, 2012.

Sawa umeomba samahani lakini kijana umejinyea na hustahili kuwa mbunge, na umejimaliza kisiasa. Wewe ule utoto wa kuomba uchumba basi kusifiwa sasa unaanza kuleta mzaha kwenye mambo makubwa kama haya?
 
pozu la pumba lakutoka kinywani na puan
unashindwa kutambua sana nguvu ya umma ni propaganda,na pale wataposhika hatamu uuma na viongoz vinakua vitu viwil tofaut
umma unabaki na matakwa yao bado watayotaka yatekelezwe na viongoz watakua na changamoto ya sera zao wanazopigania kutekeleza kwa protocal maalum,bila kusahau interest za mabwana zao world bank ni imf,bila kusahau eurpean community na superpower america
acha ukenge kufuata msafara wa mamba..!
Wanasiasa wanakugeuza kadir wapendavyo na ww unageuka kufuata upepo wao..!
Amka mdanganyika dai katiba yako huru sasa..!

GT gani wewe unayetukana matusi? Kwa nini usijibu kwa hoja? Magamba mmeishiwa sana...
 
Sawa umeomba samahani lakini kijana umejinyea na hustahili kuwa mbunge, na umejimaliza kisiasa. Wewe ule utoto wa kuomba uchumba basi kusifiwa sasa unaanza kuleta mzaha kwenye mambo makubwa kama haya?

Magamba at work!
 
na hapa namnukuu
''na kama hawatatusikiliza tutaunganisha nguvu ya mwanza,mara,arusha,kilimanjaro,arumeru,singida,iringa na mbeya na kujitangazia uhuru wetu kama walivofanya watu wa sudan kusin,tuna kila kitu mlima kilimanjaro,tuna madini,tuna mbuga za wanyama,tuna ardhi yenye rutuba,tuna kila kitu,so tutaishi kama ulaya,na huku akiapia kwa kusema haki ya mungu''
sasa hilo tamko lake lina maana gan kusema alikua haamanishi alichokisema na watu tumemuelewa vibaya,akita tumuelewe vip??
Kesi iko kwa DPP saiz,na jins navowafaham mafisadi magamba wasivo na dogo,na jins walivoanguka kwa aibu kule arumeru watafanya kila hila wakushikishe adabu urud ukachunge ngo'mbe
washatuma wanafiki wao akina kibonde kuchochea chochea
chadema mna ajenda za ajabu sana
nguvu hii ya umma mnayotangaza ina nin hasa ndan yake??
 
Sawa umeomba samahani lakini kijana umejinyea na hustahili kuwa mbunge, na umejimaliza kisiasa. Wewe ule utoto wa kuomba uchumba basi kusifiwa sasa unaanza kuleta mzaha kwenye mambo makubwa kama haya?

mlugaluga
 
Mawaziri kama hawa wanafaa sana.......! Hongera dogo, unawakilisha majembe ya ukweli....nadhani upate uteuzi wa uwaziri kabisa....NAKUPONGEZA KWA. KUONYESHA TRUE COLOURS ya viongozi tunaowachagua.....
"Leo wanasema hili kesho wanang'aka kuwa hatukuwa
elewa vizuri"

umemaliza kila kitu
wanayo mengi mioyon mwao hao
tunasubiri yaljidhihirishe kama hivi
badala ya kusimamia hoja za msingi za ukomboz na kupinga ufisadi kama wafanyavo saiz wanataka kuleta mgawanyiko
chama imara hua imara katika kuchagua aina ya wawakilishi,na sio kuleta masela mavi kama nassari,cdm na mgamba wote hopless kw mustakabali wa tanzania yenye neema tuitakayo..!kwan ni lazma wote muwe wanasiasa??
Inatosha sasa mnafahamika kua nature yenu ni biashara,wizi na ulanguz
mbowe kaendeshe bilicanas usilete zako sizo hapa,unaposema kua kauli za kitoto hizo za uyo nassari tukuelewe vip?we si ndio ulisema kua yuko imara na kiongoz safi hapa juz juz?
Leo mbona unageuka?
Et mbowe nae anataka ikulu akaibe kama wenzake wanavoiba saiz,saiz nayy anajiona ni mpigania rasilimali za nchi hii..!
Kweli?aaah tuko smart zaid ya hapo mboweee
hatutaruhusu iyoo..!
 
nassari siyo kichaa. Hayo aliyoyasema ndiyo aliyokuwa anafikiria. Hata mlevi ukiona ametamka neno ujuwe kuwa ni kitu ambacho kilikuwa moyoni mwake alikuwa anshindwa tu kukitoa hadharani.

Binafsi nadhani chadema wana fursa kubwa ya kupambana na ccm na ikiwezekana kuchukua nchi lakini kauli kama za akina nassari zinafanya watanzania wafikiri tena. Watanzania siyo wajinga hata kidogo. Jana nimesoma kwenye posting mmoja hapa jf mwandishi akiwaomba kuwa muache kupiga nyimbo za dini kwenye mikutano yenu. Hili nalo ni muhimu. Tungeni nyimbo zenu kama ccm walivyofanya.

Chadema pamoja na matatizo mengi wanayoyapata kutoka polisi na chama tawala ni lazima kabisa wajifunze kuwa wanasiasa makini. Neno au tendo moja tu linaweza kuvuruga mambo.

kula like!
Dogo ulichemka. Politician mzuri ni yule anaehesabu maneno anayozungumza na anajua wat timing is. Vinginevyo utaicost cdm mbele ya safari. Dr slaa plse have a close eye 2this dogo janja.
 
labda kama una jinsia mbili. nachojua we jike tena la shiverz
Akili yako na ya chama chako inakutuma kufikiria kilicho katikati ya miguu ya wanaume basi una matatizo ya kimsingi.
Na katika CDM hiyo ndiyo majimbo? Au?
 
safi sana ni ukweli usiopingika ikifika hatua watu waanza kutoana uhai lazima utumie ushawishi kudai haki yako na style za ushawishi ni nyingi mno safi sana kaka joshua umeonesha kuwa wewe ni zaidi ya nape nnauye gud
 
labda kama una jinsia mbili. nachojua we jike tena la shiverz

Mkuu Mungi, are you a Homosexual?
Homosexuals usualy cant differentiate between the sexes
Kutetea chama chako kwa hii posting reveals your pevertness.
 
Ni heri ungenyamaza kimya kuliko statement yako ambayo haijitoshelezi,haielezi maana ambayo imepotoshwa ni ipi na uzuri mwenyekiti wako alifuta kauli yako palepale kwahiyo yeye ndio alianza kupotosha ukweli?why aliikana kauli yako?
 
Kama gazeti la Mwananchi watajari uungwana kama siku zote wanavyofanya habari hii wangeiweka Ukurasa wa mbele wa gazeti lao.
 
Kimsingi, Nassari ameelezea nia ya maneno yake lakini hakuomba msamaha. Nimependa jinsi alivyoonyesha kwa sababu kuomba omba msamaha kunonyesha utoto

Huko ni kumpoteza nassarii,kuomba msamaha sio utoto ni kuonesha uungwana wako,ukikosea usikimbilie kufafanua,kama kauli yake ilikuwa na maana sahihi why mbowe aliifuta palepale?tuache ushabiki wa kitoto tutaipoteza chadema,tunatakiwa kuwa wasikivu,hivi unajua kiasi gani watu wa iringa,mtwara,songea,mbeya wamekwaza na kauli yake?
 
Back
Top Bottom