''Shirika la reli linaendelea kufuatilia kwa ukaribu, kufahamu chanzo cha ajali ili kuchukua hatua"

SASA NAJIULIZA KWANI HAKUKUWA NA UKAGUZI WA MAFUNDI/WAHANDISI KABLA YA CHOMBO KUANZA SAFARI? (Pre-Inspection)... maana hata kwa picha inaonekana body imechakaa na baadhi ya vyuma na chasis vimebaki kwenye reli...

Tukisema ni uzembe wenu tutakuwa tumekosea au ndio mtatuita wachochezi? Mtarudisha uhai wa waliopotea kwa uzembe wenu?

Mh. Rais anafanya kazi lakini watendaji wake mnamkwamisha..
 
''Shirika la reli linaendelea kufuatilia kwa ukaribu, kufahamu chanzo cha ajali ili kuchukua hatua"

SASA NAJIULIZA KWANI HAKUKUWA NA UKAGUZI WA MAFUNDI/WAHANDISI KABLA YA CHOMBO KUANZA SAFARI? (Pre-Inspection)... maana hata kwa picha inaonekana body imechakaa na baadhi ya vyuma na chasis vimebaki kwenye reli...

Tukisema ni uzembe wenu tutakuwa tumekosea au ndio mtatuita wachochezi? Mtarudisha uhai wa waliopotea kwa uzembe wenu?

Mh. Rais anafanya kazi lakini watendaji wake mnamkwamisha.
 
''Shirika la reli linaendelea kufuatilia kwa ukaribu, kufahamu chanzo cha ajali ili kuchukua hatua"

SASA NAJIULIZA KWANI HAKUKUWA NA UKAGUZI WA MAFUNDI/WAHANDISI KABLA YA CHOMBO KUANZA SAFARI? (Pre-Inspection)... maana hata kwa picha inaonekana body imechakaa na baadhi ya vyuma na chasis vimebaki kwenye reli.

Tukisema ni uzembe wenu tutakuwa tumekosea au ndio mtatuita wachochezi? Mtarudisha uhai wa waliopotea kwa uzembe wenu?

Mh. Rais anafanya kazi lakini watendaji wake mnamkwamisha.
 
Mabehewa sita ya Treni ya abiria iliyokuwa ikitoka Mkoa wa Kigoma kuelekea Mkoani Tabora mpaka Dar es salaam yameanguka katika eneo la Kata ya Malolo iliyopo katika manispaa ya Tabora.

Kamanda wa jeshi la Polisi Mkoa wa Tabora ACP. Richard Abwao amesema kuhusu majeruhi na vifo bado jeshi la Polisi linaendelea kufuatilia kutokana na abiria wengi kukimbizwa katika hospitali ya Mkoa wa Tabora Kitete kwa ajili ya matibabu.
1655902168013.jpeg

1655902180098.jpeg
 
Kutunza reli ni gharama sana,sijajua serikali yangu kama imejipanga kwenye hili kisawasawa kwa upande wa SGR,usimamizi wa reli unahitaji umakini wa hali juu na hautaki ujanja ujanja,panapohitajika hela ni lazima hela itoke na maintanance ifanyike,kinyume cha hapo tegemea lolote wakati wowote...
 
Na hii treni ya kamata_ubungo mtengeneze hiyo reli maana maeneo jirani na mwananchi huwa inayumba sana sasa isije siku ikaleta maafa makubwa.

Poleni wote mliofikiwa na janga hili
Acha uongo.
Hiyo treni ya Mwakyembe haifanyi kazi zaidi ya mwaka sasa.
 
Itabidi Kwenye Treni muweke vidhibiti Mwendo

mufanye ukarabati wa mara kwa mara wa reli kama zamani

Nawapa pole Sana wahanga wa Hii ajali
 
Back
Top Bottom