Screenshot_20220622-165006.png
 
Tuweke Record ndogo hapa kwaajili ya kumbukumbu.

Tarehe 22Machi 2020.
Watumishi watano wa Shirika la Reli Tanzania TRC walifariki kwa ajali ya treni ya uokoaji iliyogongana na Kiberenge Na. HDT-3 katika eneo lililopo kati ya Stesheni ya Mwakinyumbi na Gendagenda katika reli inayotoka Ruvu Junction mpaka Mruanzi Junction.

Tarehe 2 Januari 2021 Majeruhi ni 66 na waliopoteza maisha ni watatu (3),
Ilitokea kati ya kigwe na Bahi

Tarehe 22 July 2021
Gode gode,Kidete mkoani Morogoro ilisababisha kifo cha mtu mmoja na kujeruhi wengine 21

16 January,2022 Majeruhi watano na kifo cha Mtoto mmoja mwenye umri wa miaka saba.Ilitokea kati ya Mkalamo na Mvave Wilaya ya Pangani,Mkoan Tanga.

leo Jumatano Juni 22,2022 katika eneo la Kata ya Malolo iliyopo katika manispaa ya Tabora.
(Majeruhi na vifo bado wanahesabiwa)

Ajali ya dodoma
24 June 2002.
Iliua mamia inakumbukwa na wengi mpk leo.

Japo Safari sio kifo lkn mm bimafsi kwa nchi yetu kuna la kujifunza juu ya tarehe na miezi ktk kusafiri.
Haswa hii rail ya kati.
Ile ya Tazara haina matukio mengi kama rail ya kati.
 
Kipindi flan watendaji walikuwa hawakai maofisini wanaenda wenyewe site kuhakikisha
Sasa hivi wamerudi vitini wanaagiza na wanaoagizwa nao wanaagiza mpaka anaeagizwa anaamua kwenda zake tu bar kujinywea
Alafu kule kunakutikana mandingo tupu!!!alafu tunapewa pole
 
Acha uongo.
Hiyo treni ya Mwakyembe haifanyi kazi zaidi ya mwaka sasa.
Kama upo huko nanguruwe usilete ubishi wa mwaka jana na uzuri kwa muda wa kama lisaa limoja nimeshuka hapa mwananchi na hapa nitaisubiri nikupigie na picha kabisa uione.
 
Attachments

  • 20220622_182637.jpg
    20220622_182637.jpg
    520.9 KB · Views: 3
Daah Ajali za treni inasikitisha sana uzembe wake ni baadhi ya reli kutokua sawa au kuibiwa huko Tazara ndio usafiri salama ila huu wa Kigoma ni hatari kidogo...
 
Tuweke Record ndogo hapa kwaajili ya kumbukumbu.

Tarehe 22Machi 2020.
Watumishi watano wa Shirika la Reli Tanzania TRC walifariki kwa ajali ya treni ya uokoaji iliyogongana na Kiberenge Na. HDT-3 katika eneo lililopo kati ya Stesheni ya Mwakinyumbi na Gendagenda katika reli inayotoka Ruvu Junction mpaka Mruanzi Junction.

Tarehe 2 Januari 2021 Majeruhi ni 66 na waliopoteza maisha ni watatu (3),
Ilitokea kati ya kigwe na Bahi

Tarehe 22 July 2021
Gode gode,Kidete mkoani Morogoro ilisababisha kifo cha mtu mmoja na kujeruhi wengine 21

16 January,2022 Majeruhi watano na kifo cha Mtoto mmoja mwenye umri wa miaka saba.Ilitokea kati ya Mkalamo na Mvave Wilaya ya Pangani,Mkoan Tanga.

leo Jumatano Juni 22,2022 katika eneo la Kata ya Malolo iliyopo katika manispaa ya Tabora.
(Majeruhi na vifo bado wanahesabiwa)

Ajali ya dodoma
24 June 2002.
Iliua mamia inakumbukwa na wengi mpk leo.

Japo Safari sio kifo lkn mm bimafsi kwa nchi yetu kuna la kujifunza juu ya tarehe na miezi ktk kusafiri.
Haswa hii rail ya kati.
Ile ya Tazara haina matukio mengi kama rail ya kati.
Aiseeeee !!!
 
22 June 2022
Tabora, Tanzania

ENEO ILIPOTOKEA AJALI YA TRENI ILIYOSABABISHA VIFO 4 NA MAJERUHIWA 132, "IMEANZA KUNYANYULIWA"

Mashuhuda wazungumza

Source : millard ayo
 
Back
Top Bottom