Wote tumesikia hizi habari,na kikubwa wanachosema kuna sherehe za chief wa huko butiama so,nilazima sherehe zimalizike kwanza ndipo waweze kuzitangaza rasmi hizi habari
Mungu ibariki tanzania
mods hebu futeni huu uzi mpaka tupate habari za uhakika . Hii haikubaliki hata kidogo
Mods fanyeni kazi yenu haraka. Hizi ni tetezi za jambo zito mno.
Fungeni thread au thibitisheni.
Mkuu unamkumbuka kwani umeambiwa tayari ni marehemu?Namkumbuka sana, Mama Maria Nyerere kwa kuwa muumini mmojawapo mwaminifu wa padri Nkwera, aliyetengwa na askofu Pengo !
Habari ni za uongo. Lakini. I was just a hair's breath away from making the announcememt to the media kwamba. Mama. Maria. Nyerere amefariki.
Natafakari andiko lako neno kwa neno,Kuna jambo haliko sawa hapa.Habari ni za uongo. Lakini. I was just a hair's breath away from making the announcememt to the media kwamba. Mama. Maria. Nyerere amefariki.
Ndugu tuko pamoja kuna jambo halipo sawa.Huajaeleweka Andrew,unakanusha au unakubali???
wewe nakudharau sana kwa sababu comment zako ni za kijinga sanaYericko mtoto wa kusingiziwa wa Nyerere
Hahaha ngoja na wewe uwe miongoni mwa watu waliopigwa ban, unawafundisha mods kufanya kazi yao....angalia majina ya watu waliopigwa ban kwenye hii thred....