Taarifa Kuhusu Mama Maria Nyerere si za Kweli

Bado hujaelewa?. Katika sherehe leo,. Manyerere. Jackton alikuwa. M. C. Nikamwambia. Mama. Maria. Nyerere amefariki,waambie watu kuna tangazo,nataka kutoa tangazo. Manyerere akasema ok. Kwa hiyo nikawa nasubiri kutoa tangazo. Baadaye akarudi akasema amefanya double checking,zile habari ni za uongo. Akasema yeye.,. Manyerere ameongea na. Anna. Nyerere akaambiwa hizo habari siyo kweli. Akasema. Magige,mtoto wa pili wa. Mwalimu. Nyerere,ameongea na. Mama. Maria kwa simu,kwa hiyo habari hizo sio za kweli. That is the whole stnry of what happenned today.
 
CCM na Vibaraka wenu acheni kumdhihaki Mama Maria Nyerere na familia yake!

Yericko Nyerere 15:53 3 Minutes Ago

Hili ni lazima tulikemee kwa umoja wetu bila kujali itikadi zetu ama dini zetu,

Leo kumezushwa habari yakuwa Mama Maria Nyerere amefariki dunia, habari hii imezushwa na idara maalum nchini chini ya maelekezo ya ccm baada ya kikao cha jana usiku cha viongozi wa ccm na serikali kufuatia kubumburuka kwa mkakati wa kumuua Dr Slaa juzi usiku.

Hali ya ccm ni mbaya sana baada ya kubainika mpango huo, na njia pekee ilikuwa ni kuwaondoa watu kwenye habari hiyo kwakuzusha kuwa Mama Maria Nyerere amefariki.

Hii ni dhihaka kubwa kwa familia ya mama Maria Nyerere na heshima ya Mwalimu Nyerere kwaujumla, ifahamike kuwa leo mda huu kikao cha wafanyabiashara wakubwa na marafiki wa ccm wapo Butiama wakiendelea na kikao cha kumuunga mkono Makongoro Nyerere agombea urais katika kilekile kinachotajwa kuwa ccm hurithishana utawala (utawala wa kifalme), Tujiulize, dhihaka hii inania njema kwa Familia ya Mwalimu Nyerere na Ligancy yake?

Tupinge kwa nguvu zote, Mama Maria Nyerere ni alama ya utaifa na taifa letu. Ccm waendelee kusingiziana wenyewe kwa wenyewe hukohuko Lumumba
 
Sasa swali lako litakalofuata ni kwa nini mimi nilikwenda kwa. M. C kumwambia anipe nafasi nitangaze. Mama. Maria. Nyerere amefariki. Mh. Nimrod. Mkono,mbunge wetu wa. Butiama alituita pembeni mimi na. Magige akatuambia kwamba . Mh. Bernard. Membe,. Waziri wa. Mambo ya. Nje amepokea taarifa kwa simu sasa hivi kwamba . Mama. Maria. Nyerere amefariki. Mimi nikamfuata. Ndugu. Membe nikamuuliza hizi habari zinazosemwa kwamba. Mama. Maria amefariki ni kweli? Akasema hizo habari ni kweli.
 
Wenye habari watuze kama ni kweli mama aliyetupigania uhuru hatunaye tena Mungu amuweke mahala pema peponi Mungu ibariki tanzania.
================

TAARIFA RASMI: Ujumbe unaosambazwa kwenye mitandao ya kijamii (JF ikiwemo) kuwa Mama Maria Nyerere kafariki SI SAHIHI. Ukiupata ujumbe upuuze.

JamiiForums.

Mbona nyie hamjaupuuza!
 
Sasa swali lako litakalofuata ni kwa nini mimi nilikwenda kwa. M. C kumwambia anipe nafasi nitangaze. Mama. Maria. Nyerere amefariki. Mh. Nimrod. Mkono,mbunge wetu wa. Butiama alituita pembeni mimi na. Magige akatuambia kwamba . Mh. Bernard. Membe,. Waziri wa. Mambo ya. Nje amepokea taarifa kwa simu sasa hivi kwamba . Mama. Maria. Nyerere amefariki. Mimi nikamfuata. Ndugu. Membe nikamuuliza hizi habari zinazosemwa kwamba. Mama. Maria amefariki ni kweli? Akasema hizo habari ni kweli.
 
Sasa swali lako litakalofuata ni kwa nini mimi nilikwenda kwa. M. C kumwambia anipe nafasi nitangaze. Mama. Maria. Nyerere amefariki. Mh. Nimrod. Mkono,mbunge wetu wa. Butiama alituita pembeni mimi na. Magige akatuambia kwamba . Mh. Bernard. Membe,. Waziri wa. Mambo ya. Nje amepokea taarifa kwa simu sasa hivi kwamba . Mama. Maria. Nyerere amefariki. Mimi nikamfuata. Ndugu. Membe nikamuuliza hizi habari zinazosemwa kwamba. Mama. Maria amefariki ni kweli? Akasema hizo habari ni kweli.
Kutokana na taarifa hiyo ya Andrew, inaonekana dhahiri kuwa masisiem yapo behind those rumours.
 
Sasa swali lako litakalofuata ni kwa nini mimi nilikwenda kwa. M. C kumwambia anipe nafasi nitangaze. Mama. Maria. Nyerere amefariki. Mh. Nimrod. Mkono,mbunge wetu wa. Butiama alituita pembeni mimi na. Magige akatuambia kwamba . Mh. Bernard. Membe,. Waziri wa. Mambo ya. Nje amepokea taarifa kwa simu sasa hivi kwamba . Mama. Maria. Nyerere amefariki. Mimi nikamfuata. Ndugu. Membe nikamuuliza hizi habari zinazosemwa kwamba. Mama. Maria amefariki ni kweli? Akasema hizo habari ni kweli.
 
Out of Topic: Nataka nipigwe ban nifate njia zipi? ili nijipatie ban?@Like Niku ADD
 
Bado hujaelewa?. Katika sherehe leo,. Manyerere. Jackton alikuwa. M. C. Nikamwambia. Mama. Maria. Nyerere amefariki,waambie watu kuna tangazo,nataka kutoa tangazo. Manyerere akasema ok. Kwa hiyo nikawa nasubiri kutoa tangazo. Baadaye akarudi akasema amefanya double checking,zile habari ni za uongo. Akasema yeye.,. Manyerere ameongea na. Anna. Nyerere akaambiwa hizo habari siyo kweli. Akasema. Magige,mtoto wa pili wa. Mwalimu. Nyerere,ameongea na. Mama. Maria kwa simu,kwa hiyo habari hizo sio za kweli. That is the whole stnry of what happenned today.
 
Hili ni lazima tulikemee kwa umoja wetu bila kujali itikadi zetu ama dini zetu,

Leo kumezushwa habari yakuwa Mama Maria Nyerere amefariki dunia, habari hii imezushwa na idara maalum nchini chini ya maelekezo ya ccm baada ya kikao cha jana usiku cha viongozi wa ccm na serikali kufuatia kubumburuka kwa mkakati wa kumuua Dr Slaa juzi usiku.

Hali ya ccm ni mbaya sana baada ya kubainika mpango huo, na njia pekee ilikuwa ni kuwaondoa watu kwenye habari hiyo kwakuzusha kuwa Mama Maria Nyerere amefariki.

Hii ni dhihaka kubwa kwa familia ya mama Maria Nyerere na heshima ya Mwalimu Nyerere kwaujumla, ifahamike kuwa leo mda huu kikao cha wafanyabiashara wakubwa na marafiki wa ccm wapo Butiama wakiendelea na kikao cha kumuunga mkono Makongoro Nyerere agombea urais katika kilekile kinachotajwa kuwa ccm hurithishana utawala (utawala wa kifalme), Tujiulize, dhihaka hii inania njema kwa Familia ya Mwalimu Nyerere na Ligancy yake?

Tupinge kwa nguvu zote, Mama Maria Nyerere ni alama ya utaifa na taifa letu. Ccm waendelee kusingiziana wenyewe kwa wenyewe hukohuko Lumumba.

Labda hicho kikao cha wafanyabiashara kitakuwa kinaendelea bila Makongoro Nyerere kuwepo.Mida hii Makongoro Yuko hapa Airport JKIA,kwenye waiting lounge.
 
Membe ni mtu hatari sana katika Nchi hii..... Ana damu nyingi sana mikononi mwake, naona alishaanza kutengeneza movie nyingine ya Mama Maria.... Mama yetu kawafanyia nini jamani....
 
Lengo kumtisha Mama Maria amzuie Chief Mako ....,hasa Baada ya kujiaminisha kuwa yeye Ndio chaguo la familia ya Mzee ....,kuhusishwa kwake na mtandao wa ufisadi unaokula Nchi kumeondoa Imani waliokuwa nayo wana ccm Imani kwake na hasa kitendo cha kutafuta WAGOMBEA wengine ...Kama mako na former spy Mahiga ...kimemuudhi Sana
Na kileleni cha hasira zake ni kitendo cha mama na wana ukoo influential akiwamo mwanaukoo mwalikwa Mkapa kutoonekana Kwao Leo Butiama katika kile alichotaka kukitumia Kama endorsement
 
basi mie nae nikajua labda mama nae kakombolewa!!!! du ingekua bonge la isssue..
 
Mkuu unamkumbuka kwani umeambiwa tayari ni marehemu?
Haujui kwamba kila kiumbe hapa duniani; ni Marehemu mtarajiwa mkuu !!!
Habari za mary Nyerere zimekwisha kwa sasa,tulonge ya leo yaliyojiri mahakamani kati ya Zitto vs Chadema.
Nipe like
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom