Taarifa Kuhusu Mama Maria Nyerere si za Kweli

Taarifa Kuhusu Mama Maria Nyerere si za Kweli

mdetichia

JF-Expert Member
Joined
Feb 13, 2015
Posts
5,292
Reaction score
2,172
Wenye habari watuze kama ni kweli mama aliyetupigania uhuru hatunaye tena Mungu amuweke mahala pema peponi Mungu ibariki tanzania.
================

TAARIFA RASMI: Ujumbe unaosambazwa kwenye mitandao ya kijamii (JF ikiwemo) kuwa Mama Maria Nyerere kafariki SI SAHIHI. Ukiupata ujumbe upuuze.

JamiiForums.
 
Kuna taarifa nimepata hapa kuwa mama Maria Nyerere amefariki. Mwenye taarifa zaidi atupashe
 
Wadau kuna tetesi kuwa mjane wa Hayati Baba wa Taifa Mama Maria Nyerere amefariki dunia ghafla.

Mwenye taarifa kamili atujuze
 
Tetesi nilizozipata mda mchache uliopita ati mke wa mkuu wa kaya wa kwanza wa wadanganyika amemfuata mkuu huko alipo??? Embu thibitisheni wenye uhakika???
 
Wakuu nimepokea taarifa za msiba kuwa mama Maria Nyerere hatunae tena

Kwa wale wenye uthibitisho wa taarifa hizi tungeomba wathibitishe
 
Jamani kuna taarifa zinasambaa kuwa tumekumbwa na msiba mzito wa mama yetu.
Naomba mwenye taarifa kamili na kama basi thread ibaki tetesi.
 
I surely hope you are dead (no pun intended) wrong!
 
Mimi pia nimesikia toka Butiama...lakn nimepokea msg zingiiii sana kuhusu hili ....Tusubili na tuone!!
 
mdau mwenye id ya dr. wa ukweli aje atuthibitishie kwani hata kifo cha komba yy alikuwa wa kwanza kuleta taarifa hapa jf
 
tusubiri taarifa kamili lakini inasikitisha kama ni kweli
 
Tangu saa 7 mchana tunasikia habari hii, lakini bado haijathibitishwa
 
Back
Top Bottom