Taarifa Kuhusu Mama Maria Nyerere si za Kweli

Taarifa Kuhusu Mama Maria Nyerere si za Kweli

Hizi ni habari za uzushi zimeshakanushwa na vyombo vya habari jioni hii
 
kuna watu ni wa mwisho tu kwa kila kitu, kuanzia darasani, kwenye kula na hata kupata maendeleo... mleta mada atakua mmoja wapo

Hii habari imeshakanushwa like three hours ago

Bundle zinasumbua sana
 
Habari ni za uongo. Lakini. I was just a hair's breath away from making the announcememt to the media kwamba. Mama. Maria. Nyerere amefariki.
 
Mh hili jina linaniondolea credibility ya taarifa zangu maana naona humu kila kitu kibaya Uzushi,mzushi ,wazushi basi tafrani tu
 
Mkuu Andrew Nyerere sisi Wandengereko umetuacha mbali sana

I think he almost fall into the trap ..of announcing ...,

Whenever the case ..and the position the family hold her in their hearts dearly ....they cannot announce such news Bila consultation na state kwa sababu yuko chini ya state ..kwa Sheria Za Mafao kwa VIONGOZI wakuu Kama former first leader ...hata ikitokea ujitangaza wewe Andrew Hiyo bado haitakua official announcement ..Ina maana hata wana familia msitoe habari bila utaratibu
 
Last edited by a moderator:
Sio kweli nyumbani kwa bibi kulikuwa na sherehe ya kimila ko watu wakazusha kuna msiba. Mtu aliesambaza izo taarifa anatafutwa. Ni bora wangemzushia fisadi yeyote wa ccm lakini sio yule bibi kipenzi cha watz
 
Back
Top Bottom