Mama Maria Nyerere afariki dunia ghafla sasa hivi.Bado naendellea kufuatilia ukweli wa habari hii.
Source mdogo wangu anaeishi Butiama.
Na mie nmeskia hivo sielewi..kma. ni kweli ccm wameusika..
Kuna watu wajinga sanaHaya mambo ya kupeana taarifa za misiba kiana pasipo kumwandaa mtu kwanza watu wanatoa toa taarifa za misiba ovyo ovyo, tutakuja kuawana! Hasa huku kwenye mitandao. Zamani wengine wanajulishwa siku ya maziko.
Maria Nyerere amekanusha
Ni kweli hatunaye tena?
...... MARRY NYERERE AMEKANUSHA qwiqwiqwiiii sharp minded .
Marry Nyerere amekanusha
Hii ni habari ya kweli .Mimi nina mdogo wangu anafanya kazi makumbusho ya mwl Nyerere.