Taarifa Kuhusu Mama Maria Nyerere si za Kweli

Taarifa Kuhusu Mama Maria Nyerere si za Kweli

Hata mm nimezisikia taarifa hizi lkn bado ni tetesi tusubiri kidogo jaman
 
Mkuu haya mambo sio ya kuwaomba wengine wathibitishe. Kama huna taarifa kamili za mambo ya aina hii tafadhali acha.
 
Wandugu kuna Uvumi umesambaa mtaan japo sijui ni nani ameanzisha huo uvumi ukisema kwamba Mama mjane wa baba wa Taifa kua nae amepumzika kwa Amani...Je Mwenye Taarifa zaidi hebu atuelezee kwa marefu na mapana zaidi kuhusu huu Uvumi..
 
hiyo heading imenishtua nilifikiri mambo yetu yalee
 
hata mimi nimetumiwa kwa Watsaap but nafikiri ni uongo
 
Jamani kuna tetesi ZIPO mama Maria nyerere, mjane wa baba wa taifa amefariki mwenye Habari zaidi
 
Haya mambo ya kupeana taarifa za misiba kiana pasipo kumwandaa mtu kwanza watu wanatoa toa taarifa za misiba ovyo ovyo, tutakuja kuawana! Hasa huku kwenye mitandao. Zamani wengine wanajulishwa siku ya maziko.
 
Back
Top Bottom