Jerrymsigwa
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 14,084
- 8,400
Taarab haichezwi hiyo ni rusha roho uisemayo. Taarab mtu anakaa anasikiliza ala na mashairi mwanana.
Upo hapo ulipo?
Pata kitu hiki:
[video=youtube_share;Kvx1nkRi2mA]http://youtu.be/Kvx1nkRi2mA[/video]
Wewe una matatizo ya akili!!wapi palipoandikwa huu ni mziki wa kike na huu ni wa kiume! !jaribu kufuatilia asili ya kitu kabla ya kuja hapa na kulopoka .!!
We jamaa umeongea point tupu. Sasa vidole juu na mwanaume wapi na wapi. Nyimbo zao ni kupondana tu. Uksikilza taarabu lazma uwe mbea na mwanaume hutakiwi kuwa hvyo. Na mashoga wengi wanapenda taarabu.
Hutaki unaacha!
naichukia taarabu,nawachukia wanaoiimba,nawachukia wanao sikiliza .mi mziki wa waislam na wanawake hasa wa mikoa ya pwan na zanzibar
Wewe una matatizo ya akili!!wapi palipoandikwa huu ni mziki wa kike na huu ni wa kiume! !jaribu kufuatilia asili ya kitu kabla ya kuja hapa na kulopoka .!!
Ukiisoma post hii ya mtoa mada unaweza kujua bila shaka vifuatavyo 1.Elimu ya mtoa mada 2.Umri wa mtoa mada 3.Tabia ya mtoa mada
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums