Taabu ya mama

Amavubi

JF-Expert Member
Dec 9, 2010
30,156
13,249
13100891_10204921259471583_1110993597168435002_n.jpg
 
Ili kabinti kasome.

Baada ya miaka miwili ya sekondari kanabeba mimba.
 
Nani Kama Mama?
Heri Na Baraka Kwake
Hapo Anaipigania Family Ile Ivae Isome!!!
 
Inaumiza sana hii picha mama zetu wamepitia na wanapitia mengi kutulea taifa hili ni masikini Mungu atuongoze ili wakulima wapate kipato kinachoeleweka kukizi mahitaji yao na familia.
 
tnadharau mama zetu wamehngaika sana kwa ajili yetu hadi hapa tulipo ajabu ni kwamba mama mmoja anahangaika na watoto hata watano lakini watoto watano hawawezi kumhangaikia mama mmoja.............
inauma sana jamani wamama kama hawa nikiwaona huwa nawaza sana unakuta ana sinie la mchicha kichwani na katotot mgongoni huwa machozi na mawazo ya kila aina yananipata .....


namsifu sana diamond na wengine wenye kuwapenda mama zao ... mama anafanya kila liwezekanalo kwa mwanawe si mama simba, paka, kuku wala binadamu



mama ni mungu wa hapa duniani akiamua kukuteketeze ukiwa hujitambui anaweza pia
 
inauma sana jamani wamama kama hawa nikiwaona huwa nawaza sana unakuta ana sinie la mchicha kichwani na katotot mgongoni huwa machozi na mawazo ya kila aina yananipata .....


namsifu sana diamond na wengine wenye kuwapenda mama zao ... mama anafanya kila liwezekanalo kwa mwanawe si mama simba paka kuku wala binadamu



mama ni mungu wa hapa duniani akiamua kukuteketeze ukiwa hujitambui anaweza pia
kweli kabisa mdau
 
Da mbona mnaumiza watu? ninavyohangaika na watoto huku mhusika akitumbua maisha huwa siamini wanaume wengine wameumbwaje? kula maisha baba iko siku utakuja na kisukari, BP ukidai watoto uliowatupa wakutibu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom