Saiv kuoa au kuolewa ni optional.

Saiv kuoa au kuolewa ni optional.

Hiii ID wamei-hack
Hapana, kitambo tu nipo hivyo, ni wewe tu unajua leo.

Acha kujadili myoa hoja, tujadiki hoja.

Kuna watu walikataa ndoa miaka mingi sana huko nyuma, sasa mtu akisema hiki kama jambo la "siku hizi" inaonekana yeye ndiye alikuwa hajui.

Jadili hoja.
 
Back
Top Bottom