Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,688
- 140,352
Watakua wahasi wa msituni kama kabila😅Hawa watu CCM ikitoka madarakani sijui watakimbilia wapi
Hiki kitu nimekiwaza sana hawa jamaa wakitolewa madarakani nahisi nchi itawaka sanaWatakua wahasi wa msituni kama kabila😅
Kama wana mtandao na silaha wanazo , kifuatacho lazima wahasi tu 😅Hiki kitu nimekiwaza sana hawa jamaa wakitolewa madarakani nahisi nchi itawaka sana
Mbona hapa imekuletea?Huyu jamaa me mpaka nishamute jina lake na samia kwny social medias nazotumia ,hamna algorithm itaniletea contents za hawa jamaa na wengne weng,sijui hata kinaendelea kwny maisha ya huyu jamaa ,anaweza akafa na nisijue ,naendelea na maisha yang fresh kabsa.
Mavitu mapya ambayo huyajui ni mashkolo mageniHiv mashikolo magen maana yake nn,niliisikia sana mbeya kwa wanawake wa redio moja hiv
Mbona hapa imekuletea?
Uli masalakulangwa bhebhe?
Fundo lwakoIla hizi species za ajabu sana🤣🤣🤣
Asante kwa kuniheshimisha Ng'wanangwa kweli huyu jamaa kufoji vyeti nako kunaonyesha consequences zake 😅😅😅View attachment 3693478
Msukuma mjanja ni Manyanza tu, Wasukuma wengine mnanipa taabu sana kuwatetea.
MwenyeweFundo lwako
Nimecheka sanaMwenyewe