Taabu ya mama

Taabu ya mama

Da mbona mnaumiza watu? ninavyohangaika na watoto huku mhusika akitumbua maisha huwa siamini wanaume wengine wameumbwaje? kula maisha baba iko siku utakuja na kisukari, BP ukidai watoto uliowatupa wakutibu.
pole sana
 
huzuni
Mama, mama mama! Daah, sijui hata nianze na lipi la kusimulia,.. Acha kabisa. Mungu kampa moyo wa pekee saana. Nakupenda mama. Mungu akubariki.
ya moyo na nafsi
 
w
Da mbona mnaumiza watu? ninavyohangaika na watoto huku mhusika akitumbua maisha huwa siamini wanaume wengine wameumbwaje? kula maisha baba iko siku utakuja na kisukari, BP ukidai watoto uliowatupa wakutibu.
apo wengi sana unaweza kuta huyu mama kaolewa anahangaika baba ni mlevi kisha mama akija na kidogo hichi anamkaba anamnyanganya ,,,,, majianaume mengine bora yangezaliwa MAKAPU YAENDEE SOKONI
 
1462456303704.jpg
 
Halafu unakuta mwanae anacheza pool akisubiri Mama apike. Inauma kwa kweli
 
Home kuna mother aliuza bati apate ada ya mtoto yeye akwndwlea kukaa nyumba ya nyasi but kufika kidato cha pili binti wakammimba
 
Mama kweli acha aitwe mama kwa jitihada zake ktk jamii hasa malezi ya familia, naitafuta sana siku ya baba maana bila baba hakuna mtoto ikiwemo sisi tunaoandika hapa, baba anamchango mkubwa sn ktk familia ila tunatofautiana ktk utendaji wa majukumu ya kifamilia ktk malezi na utafutaji, NB. Namzungumzia baba anaeijali familia.
 
Back
Top Bottom