Ayatollah the Bird
Member
- Jul 30, 2026
- 93
- 221
Inategemea na mlango ulioingia maana kuna malango yaliyojaa taabu tele hapafai kabisa
kama waliweza kuvumilia maumivu ya kutomboa pua hakuna mpini utakaowaumizaUnawajua wale watoboa pua yaani manyampua
Sikupingi umewazia mbali sana ngumu kumeza wanaweza kufikiri umetumia matraco kuwaza kamata soda hapo ulipo nakuja kulipa😎kama waliweza kuvumilia maumivu ya kutomboa pua hakuna mpini utakaowaumiza
Wanyaturu, warangi, wanyiramba, wanguu...Sawa ila kuna kabila kukutana na wazuri ni kawaida.
kumbe unapendaga cheupe dawa?Wanyaturu, warangi, wanyiramba, wanguu...
Ongeza na WaIraqw mzeeWanyaturu, warangi, wanyiramba, wanguu...
Kabisa mkuu.kumbe unapendaga cheupe dawa?
Ok, nao ndani!Ongeza na WaIraqw mzee