Sasa boss Ni hiviTafuta mzumbe. Ada sikumbuki ila kwenye kitabu cha tcu utapata.
Sasa boss Ni hivi
Form six nilipata
HISTORY -E
GEOGRAPHY -D
LANGUAGE -D
ILA NIKO KAZINI KAMA TABIBU
NIMESOMA DIPLOMA
Saaana KakaUnataka kuwa katibu wa afya,umechoka kupambana na wagonjwa[emoji28]
Hapana nipo tayari kwenye systemHiyo kozi usisome, utasota mtaani
Tabibu kwa masomo hayo ya 'Arts'?Sasa boss Ni hivi
Form six nilipata
HISTORY -E
GEOGRAPHY -D
LANGUAGE -D
ILA NIKO KAZINI KAMA TABIBU
NIMESOMA DIPLOMA